joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unaweza ukaongezea mwenye hela na userious.Thread ipo, category sio mwenye hela...mwenye userious tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukaongezea mwenye hela na userious.Thread ipo, category sio mwenye hela...mwenye userious tu.
Wasiwasi ni akili, kama hayuko tayari ufike kwake lakini anataka akupe cheo cha kuwa mzazi mwenzake utateseka sana, act like a man, usikubali analotaka, yeye afate unachotaka wewe kama hafati mpandishie vioo vuta na pazia wewe si sparms donerYaani mkuu unanifungua kitu sababu yeye katika maongezi Huwa namjaribu niende kwake Likizo nkakae hata Mwezi
Hataki anataka yeye ndio awe anakuja huku na anaharakisha mtoto nahisi nimfahamu wakati tayari Nina mtoto nae
Hela ni added advantage.Unaweza ukaongezea mwenye hela na userious.
Miezi 8 sasa tunaomba mrejesho mkuuuHabari wakuu,
Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri
Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana corridor za chuoni
Kweli nilipomuona nkatoka ofisini kwangu nimsalimie pia nimkumbushe sababu yeye alidai kanisahau
Tukabadilishana namba tukawa tunawasiliana hatukuzidi miezi 4 tukaanza Mahusiano. Kikwazo kikubwa tupo mikoa tofauti na yeye yupo NGO'S na Mimi nipo Serikalini.
Kweli ni mwanamke ambae kanishinda maendeleo ameshajenga ana viwanja na asset na mshahara mkubwa simpati
Kweli hatuna mwezi katika Mahusiano yetu lakini wimbo wake Tuzae. Mpaka namwambia hatujawahi kuwa karibu hata kuchunguzana kwa muda mfupi tunaishi mikoa tofauti kwasasa itakuaje katika malezi.
Yeye anasema atamhudumia mtoto anachotaka tu Mimi nitambulike kwao.
Na maisha ya kwao kweli ni Mazuri.
Nimebaki njia panda kwanini aharakishe haya masuala na Mimi nimemuambia anipe muda kusudi nijipange procedure za kumuoa kwanza nianze tupate muda kufahamiana kwa ukaribu zaidi.
Nisaidieni mawazo yenu.
NaamAnataka akutumie. Mwanaume kutumika ni hatari sana na ni mbaya mno!
HahahaHuwa mnashindwa vipi kufanya maamuzi kwenye vitu vidogo kama hivi?
NaamHakikisha una mpima NGOMA.
Kuna watu wakitaka kukuunganisha kwenye Gridi atakuambia "Nipe mimba ".
Akijua, Mimba lazima upige pekupeku.
Lkn lkn nakuambia ukishamla kavukavu, anakimbilia P2.
STUKENI ENYI WAPUMBAVU