Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

Yaani mkuu unanifungua kitu sababu yeye katika maongezi Huwa namjaribu niende kwake Likizo nkakae hata Mwezi

Hataki anataka yeye ndio awe anakuja huku na anaharakisha mtoto nahisi nimfahamu wakati tayari Nina mtoto nae
Wasiwasi ni akili, kama hayuko tayari ufike kwake lakini anataka akupe cheo cha kuwa mzazi mwenzake utateseka sana, act like a man, usikubali analotaka, yeye afate unachotaka wewe kama hafati mpandishie vioo vuta na pazia wewe si sparms doner
 
Kitu kidogo tu unskuwa na majibu ya kike eti ngoja nijifikirie [emoji2][emoji2][emoji2] mwanaume maamuzi fasta km hutaki mwambie siwezi fuul stop
 
Habari wakuu,

Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri

Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana corridor za chuoni

Kweli nilipomuona nkatoka ofisini kwangu nimsalimie pia nimkumbushe sababu yeye alidai kanisahau

Tukabadilishana namba tukawa tunawasiliana hatukuzidi miezi 4 tukaanza Mahusiano. Kikwazo kikubwa tupo mikoa tofauti na yeye yupo NGO'S na Mimi nipo Serikalini.

Kweli ni mwanamke ambae kanishinda maendeleo ameshajenga ana viwanja na asset na mshahara mkubwa simpati

Kweli hatuna mwezi katika Mahusiano yetu lakini wimbo wake Tuzae. Mpaka namwambia hatujawahi kuwa karibu hata kuchunguzana kwa muda mfupi tunaishi mikoa tofauti kwasasa itakuaje katika malezi.

Yeye anasema atamhudumia mtoto anachotaka tu Mimi nitambulike kwao.

Na maisha ya kwao kweli ni Mazuri.

Nimebaki njia panda kwanini aharakishe haya masuala na Mimi nimemuambia anipe muda kusudi nijipange procedure za kumuoa kwanza nianze tupate muda kufahamiana kwa ukaribu zaidi.

Nisaidieni mawazo yenu.
Miezi 8 sasa tunaomba mrejesho mkuuu
 
Hakikisha una mpima NGOMA.

Kuna watu wakitaka kukuunganisha kwenye Gridi atakuambia "Nipe mimba ".

Akijua, Mimba lazima upige pekupeku.

Lkn lkn nakuambia ukishamla kavukavu, anakimbilia P2.


STUKENI ENYI WAPUMBAVU
Naam
 
Back
Top Bottom