Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

Hana mpango wa kuolewa bali wa kuzaa nae tu.
Kama unataka kuzaa nje ni wewe
 
Kweli fikra nzuri za kiume na za kibaharia ni adimu sana siku hizi, kama ana maokoto piga maokoto mzalishe kuoa sio lazima acha ujinga
 
Angalia umri wake, kama umri umesogea Sana atakuwa na haraka mno na Hilo la kuzaa na kuolewa
 
Unatupanga.
Chai ya siturungi kabisa hii🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Aseeh hakuna fahari kama mwanamke akimpenda mwanaume kutoka kwenye sakafu ya moyo wake utaenjoy sana, cha muhimu usimuumize!

Katika maisha linapokuja suala la mahusiano Pesa, Mali sio kitu hii nazungumzia kwa mwanamke ambae kampenda mtu kutoka sakafu ya moyo wake huwa hawaangalii hizo sijui nimekuzidi pesa, mali...e.t.c

Chief huyo nenda kapime akiwa fresh piga mimba, usije ukajutia life lako ukaangukia kwa kina mwajuma unakuja kubwagiwa mtoto kazini kwako.
Huyo kakupenda for real.
 
Mambo mepesi hayo kwa mwanaume anayejitambua, Zungumza na mwenzio mtafika muafaka. Mwanaume ndo anayeongoza mahusiano, mwanamke anatii na kuwa na imani na wewe baada ya kufanikisha mwelekeo wa ahadi unazotoa.

Yeye anataka mimba, wewe unahitaji muda. Sasa kinachoshindikana nini hapo? Mwelekeze kwanini muda ni muhimu kabla ya mimba. Ataelewa. Ukimshindwa hapa hutaweza kumhandle ndani ya ndoa.
 
Yupo na hitaji la mtoto au ana pressure ya ndoa kupitia pressure ya mtoto,
hauhitaji miezi kumsoma huyo mtu kaa nae siku 3 consecutively hasa time za usiku, utaweza kupata kuelewa tabia yake kwa uchache.
Nakukumbusha kuwa tabia zote zinavumilika isipokuwa tabia ya uzinzi!
 
Huenda ana mimba
 
Na amekubali Hilo
Hakikish asijue ni hospitali ipi mtaenda kupima, usikubali yeye achague na kusistiza hospitali fulani. Mnaweza panga hospitali fulani, ila ikifika siku ya siku unamwambie twende hospitali fulani.
 
Kweli kwenye miti hapana wajenzi unataka udahamiane nae kwani huyo ni ndugu yako piga mbupu huyo akuzalie tanua ukooo ww acha kukaa kizembe.
Sio kila mtu ana njaa ya kula kei hovyo wala kuzaa hovyo, watu wana malengo yao ngosha acha ushamba mjini
 
Sema watu mna moyo.... unaanzaje kuoa Dem amekuzidi uchumi? Si utaonekana Wewe ndo unaolewa.

Halafu wakwe watakuwa wanakuzarau hawawezi kukuheshim watajua umefata hela
 
Kwa jicho la 3, vuta subira kwanza. Hapo kuna sababu mbalimbali
1. Yuko very desperate na ndoa au na mtoto au vyote kwa pamoja. Angalia juu ya umri wake je ana miaka mingapi? Je ni 30+? Wengi wakifika huo umri wanakuwa very very desperate na ndoa/mtoto au ana baby fever Au labda wewe ni handsome sana?

2. Mali hizo kazipataje? Sipo negative, najua NGO huwa zinalipa vizuri, ila vinavyoendelea ndani ya NGO huwa wanawake wanatembezewa PAIPU MNO ili wapate vyeo, au kuongezewa mikataba. Nahisi yeye ana list ndefu. Anahisi ukianza kufatilia utapewa mafaili yake na utaingia mitini. Yaani ana ka Indirect Dangaring ndani yake.
Wanawake wenye CV mbovu ya kupelekewa moto na watu mbalimbali huwa wana fosi ndoa au mtoto harakaharaka, anaficha na kuwahi muda kabla za mafaili ya paipu hayajakufikia.

3. Je kwanini kwa muda wote huo hajapata mpenzi? Kama ana circle ndogo ya watu, hapo ni sawa, maana circle ndogo hiyo ni sababu ya kueleweka. Ila vinginevyo itakuwa ana jambo ambalo linawafanya wanaume wamuogope labda cheo, mali, kiburi, ujeuri, labda ni mkali, ndio maana watu wanamuacha. Sasa kakupata wewe kaona akimbilie mtoto, ili kuficha makucha. Ukimuoa atakuachia makucha yake.


Kama moyo wako umeona utulie ufanye utafiti, kuna jambo ambalo kwa macho ya nyama huwezi kuona. Ila kiroho kuna kitu.


Ila mwanamke akikuzidi kiuchumi haipendezi. Halafu wengi wanakuwa wakorofi. Labda awe exceptional
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…