bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hana mpango wa kuolewa bali wa kuzaa nae tu.
Kama unataka kuzaa nje ni wewe
Kama unataka kuzaa nje ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye akili timamu azai hovyo hovyo kama mbuzi.Kweli kwenye miti hapana wajenzi unataka udahamiane nae kwani huyo ni ndugu yako piga mbupu huyo akuzalie tanua ukooo ww acha kukaa kizembe.
Kweli fikra nzuri za kiume na za kibaharia ni adimu sana siku hizi, kama ana maokoto piga maokoto mzalishe kuoa sio lazima acha ujingaHabari wakuu,
Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri
Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana corridor za chuoni
Kweli nilipomuona nkatoka ofisini kwangu nimsalimie pia nimkumbushe sababu yeye alidai kanisahau
Tukabadilishana namba tukawa tunawasiliana hatukuzidi miezi 4 tukaanza Mahusiano. Kikwazo kikubwa tupo mikoa tofauti na yeye yupo NGO'S na Mimi nipo Serikalini.
Kweli ni mwanamke ambae kanishinda maendeleo ameshajenga ana viwanja na asset na mshahara mkubwa simpati
Kweli hatuna mwezi katika Mahusiano yetu lakini wimbo wake Tuzae. Mpaka namwambia hatujawahi kuwa karibu hata kuchunguzana kwa muda mfupi tunaishi mikoa tofauti kwasasa itakuaje katika malezi.
Yeye anasema atamhudumia mtoto anachotaka tu Mimi nitambulike kwao.
Na maisha ya kwao kweli ni Mazuri.
Nimebaki njia panda kwanini aharakishe haya masuala na Mimi nimemuambia anipe muda kusudi nijipange procedure za kumuoa kwanza nianze tupate muda kufahamiana kwa ukaribu zaidi.
Nisaidieni mawazo yenu.
Malaika ndie aliwi usiangalie sahani kalia nani maadamu TU ni safiWewe unafikiri tokea Akiwa hapo job hakuna aliyemla?
Yupo na hitaji la mtoto au ana pressure ya ndoa kupitia pressure ya mtoto,Habari wakuu,
Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri
Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana corridor za chuoni
Kweli nilipomuona nkatoka ofisini kwangu nimsalimie pia nimkumbushe sababu yeye alidai kanisahau
Tukabadilishana namba tukawa tunawasiliana hatukuzidi miezi 4 tukaanza Mahusiano. Kikwazo kikubwa tupo mikoa tofauti na yeye yupo NGO'S na Mimi nipo Serikalini.
Kweli ni mwanamke ambae kanishinda maendeleo ameshajenga ana viwanja na asset na mshahara mkubwa simpati
Kweli hatuna mwezi katika Mahusiano yetu lakini wimbo wake Tuzae. Mpaka namwambia hatujawahi kuwa karibu hata kuchunguzana kwa muda mfupi tunaishi mikoa tofauti kwasasa itakuaje katika malezi.
Yeye anasema atamhudumia mtoto anachotaka tu Mimi nitambulike kwao.
Na maisha ya kwao kweli ni Mazuri.
Nimebaki njia panda kwanini aharakishe haya masuala na Mimi nimemuambia anipe muda kusudi nijipange procedure za kumuoa kwanza nianze tupate muda kufahamiana kwa ukaribu zaidi.
Nisaidieni mawazo yenu.
Huenda ana mimbaHabari wakuu,

Hakikish asijue ni hospitali ipi mtaenda kupima, usikubali yeye achague na kusistiza hospitali fulani. Mnaweza panga hospitali fulani, ila ikifika siku ya siku unamwambie twende hospitali fulani.Na amekubali Hilo
Tatizo nahisi ni hiyo haraka na upesiKama hauko tayari mwambie
Hii mbinu ya kivita hufanya kaziHakikish asijue ni hospitali ipi mtaenda kupima. Mnaweza panga hospitali fulani, ila ikifika siku ya siku unamwambie twende hospitali fulani.
Mwanamke asiyeweza kusubiria HUYO SIO WAKO SHTUKANimemueleza hivyo asubiri lakini naona hajakubaliana na mimi katika hilo
Mwanamke ndiye anaweza kukupa siri za kikeni.Kaa kijanja mtoa mada
Sio kila mtu ana njaa ya kula kei hovyo wala kuzaa hovyo, watu wana malengo yao ngosha acha ushamba mjiniKweli kwenye miti hapana wajenzi unataka udahamiane nae kwani huyo ni ndugu yako piga mbupu huyo akuzalie tanua ukooo ww acha kukaa kizembe.