Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 667
- 1,582
- Thread starter
-
- #61
Asante Mkuu nimehisi pia Kuna kitu anakifichaKwa jicho la 3, vuta subira kwanza. Hapo kuna sababu mbalimbali
1. Yuko very desperate na ndoa au na mtoto au vyote kwa pamoja. Angalia juu ya umri wake je ana miaka mingapi? Je ni 30+? Wengi wakifika huo umri wanakuwa very very desperate na ndoa/mtoto au ana baby fever Au labda wewe ni handsome sana?
2. Mali hizo kazipataje? Sipo negative, najua NGO huwa zinalipa vizuri, ila vinavyoendelea ndani ya NGO huwa wanawake wanatembezewa PAIPU MNO ili wapate vyeo, au kuongezewa mikataba. Nahisi yeye ana list ndefu. Anahisi ukianza kufatilia utapewa mafaili yake na utaingia mitini. Yaani ana ka Indirect Dangaring ndani yake.
Wanawake wenye CV mbovu ya kupelekewa moto na watu mbalimbali huwa wana fosi ndoa au mtoto harakaharaka, anaficha na kuwahi muda kabla za mafaili ya paipu hayajakufikia.
3. Je kwanini kwa muda wote huo hajapata mpenzi? Kama ana circle ndogo ya watu, hapo ni sawa, maana circle ndogo hiyo ni sababu ya kueleweka. Ila vinginevyo itakuwa ana jambo ambalo linawafanya wanaume wamuogope labda cheo, mali, kiburi, ujeuri, labda ni mkali, ndio maana watu wanamuacha. Sasa kakupata wewe kaona akimbilie mtoto, ili kuficha makucha. Ukimuoa atakuachia makucha yake.
Kama moyo wako umeona utulie ufanye utafiti, kuna jambo ambalo kwa macho ya nyama huwezi kuona. Ila kiroho kuna kitu.
Ila mwanamke akikuzidi kiuchumi haipendezi. Halafu wengi wanakuwa wakorofi. Labda awe exceptional
Na pia kiume sio jambo la kujisifia kuhusu mwonekano lakini yeye unisifia Hilo nilivyo
Na pia umri wake ananiambia unampressure