Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

Kwa jicho la 3, vuta subira kwanza. Hapo kuna sababu mbalimbali
1. Yuko very desperate na ndoa au na mtoto au vyote kwa pamoja. Angalia juu ya umri wake je ana miaka mingapi? Je ni 30+? Wengi wakifika huo umri wanakuwa very very desperate na ndoa/mtoto au ana baby fever Au labda wewe ni handsome sana?

2. Mali hizo kazipataje? Sipo negative, najua NGO huwa zinalipa vizuri, ila vinavyoendelea ndani ya NGO huwa wanawake wanatembezewa PAIPU MNO ili wapate vyeo, au kuongezewa mikataba. Nahisi yeye ana list ndefu. Anahisi ukianza kufatilia utapewa mafaili yake na utaingia mitini. Yaani ana ka Indirect Dangaring ndani yake.
Wanawake wenye CV mbovu ya kupelekewa moto na watu mbalimbali huwa wana fosi ndoa au mtoto harakaharaka, anaficha na kuwahi muda kabla za mafaili ya paipu hayajakufikia.

3. Je kwanini kwa muda wote huo hajapata mpenzi? Kama ana circle ndogo ya watu, hapo ni sawa, maana circle ndogo hiyo ni sababu ya kueleweka. Ila vinginevyo itakuwa ana jambo ambalo linawafanya wanaume wamuogope labda cheo, mali, kiburi, ujeuri, labda ni mkali, ndio maana watu wanamuacha. Sasa kakupata wewe kaona akimbilie mtoto, ili kuficha makucha. Ukimuoa atakuachia makucha yake.

Kama moyo wako umeona utulie ufanye utafiti, kuna jambo ambalo kwa macho ya nyama huwezi kuona. Ila kiroho kuna kitu.

Ila mwanamke akikuzidi kiuchumi haipendezi. Halafu wengi wanakuwa wakorofi. Labda awe exceptional
Asante Mkuu nimehisi pia Kuna kitu anakificha

Na pia kiume sio jambo la kujisifia kuhusu mwonekano lakini yeye unisifia Hilo nilivyo

Na pia umri wake ananiambia unampressure
 
Mapenz hayana formula!!kuchunguzana ni mawazo mfu,ikiwa kaitika mwenyewe,then fanya ipasavyo ajae!!mambo mengne yatakuja mbelen kama kuoana utaona mwenyew kulingana na namna anavyo behave,ila ukitaka a perfect wife hutapata kwa sababu wote wako polluted kuanzia tumboni.
 
Sikia dogo mfuate pima mimba pia ngoma yupo okey jaza wazungu mambo mengine yatajiseti , wanawake wapo na limited time ya uzazi so yupo sahihi kukuambia ivo hata mimi kuna binti kaniambia ivo mi sio mchoyo
 
Kwa jicho la 3, vuta subira kwanza. Hapo kuna sababu mbalimbali
1. Yuko very desperate na ndoa au na mtoto au vyote kwa pamoja. Angalia juu ya umri wake je ana miaka mingapi? Je ni 30+? Wengi wakifika huo umri wanakuwa very very desperate na ndoa/mtoto au ana baby fever Au labda wewe ni handsome sana?

2. Mali hizo kazipataje? Sipo negative, najua NGO huwa zinalipa vizuri, ila vinavyoendelea ndani ya NGO huwa wanawake wanatembezewa PAIPU MNO ili wapate vyeo, au kuongezewa mikataba. Nahisi yeye ana list ndefu. Anahisi ukianza kufatilia utapewa mafaili yake na utaingia mitini. Yaani ana ka Indirect Dangaring ndani yake.
Wanawake wenye CV mbovu ya kupelekewa moto na watu mbalimbali huwa wana fosi ndoa au mtoto harakaharaka, anaficha na kuwahi muda kabla za mafaili ya paipu hayajakufikia.

3. Je kwanini kwa muda wote huo hajapata mpenzi? Kama ana circle ndogo ya watu, hapo ni sawa, maana circle ndogo hiyo ni sababu ya kueleweka. Ila vinginevyo itakuwa ana jambo ambalo linawafanya wanaume wamuogope labda cheo, mali, kiburi, ujeuri, labda ni mkali, ndio maana watu wanamuacha. Sasa kakupata wewe kaona akimbilie mtoto, ili kuficha makucha. Ukimuoa atakuachia makucha yake.

Kama moyo wako umeona utulie ufanye utafiti, kuna jambo ambalo kwa macho ya nyama huwezi kuona. Ila kiroho kuna kitu.

Ila mwanamke akikuzidi kiuchumi haipendezi. Halafu wengi wanakuwa wakorofi. Labda awe exceptional
Hapo kweny mabinti ktk hizo NGO kwamba wanatembezewa Mashine, umenifungua kitu. Kuna binti nilisoma nae O-Level,yeye kwa sasa hivi ana gari mbili na nyumba mbili 35yr,hana mtoto ila nae anahaha kutafuta mume ni binti mzuri mno ila kuna mwana aliniambia kuna mmoja wa Wakurugenzi wa hiyo NGO ambaye ni raia wa nje alikuwa anapiga (nyumba ndogo), ila kwa sasa hilo Danga mkataba wake umeisha amerudi kwenye familia yake.

Binti anahaha kwa sasa kuna mwanangu mmoja,ambaye tulisoma wote darasa moja na huyo binti anamng'ang'ania amuoe, mwamba hana time naye anamzungusha na hajawahi kupiga,mwamba mwenyewe naye itikadi zake anapenda wasichana wabichi na mfukoni kidogo tupo vizuri ila sio kwa level za yule binti.
 
Hizo ni siri za ndani mno. Hata mimi kuna jamaa yangu almanusura aoe binti wa ngo mwenye maokoto ya kutosha,kuna mwamba rafiki yake alikuwa dereva kwenye hiyo ngo akamsanua kua binti alikuwa anapigwa Paipu ili kulinda cheo na mkataba. Tena alikuwa awekwa paipu na bosi ofisini juu ya meza, nyaraka na laptop zinasogezwa pembeni kisha binti anapigwa paipu juu ya meza. Mwamba tena akakazia kuwa ashawahi kusikia milio ya huyo dada ofisini mida ya jioni mno watu wote wakiwa hawapo ofisini tokea chumba cha ofisi ya boss. Siku nyingine mwamba anasema alisikia milio kama mtu anapiga makofi, zile Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Toka ofisini kwa boss jamaa akajua ni Paipu inaendelea, zile pwa! Pwa! Ni nyama nyama alizonazo binti ndio zilikua zinatoa milio.

Mwamba alimalizia na kisa kuwa bosi alishawahi kupiga paipu juu ya meza mpaka akaivunja meza ya ofisini 🤣🤣. Kutokana na nyama nyama za haja alizokuwa nazo binti na uzito na moto wa bosi, basi meza ikavunjika. Mwamba yeye aliipakia kuipeleka kwa fundi, hiyo meza iliyobomoka.

Baada ya jamaa kupokea hilo faili. Mipango ya ndoa ikayeyuka
 
Hizo ni siri za ndani mno. Hata mimi kuna jamaa yangu almanusura aoe binti wa ngo mwenye maokoto ya kutosha,kuna mwamba rafiki yake alikuwa dereva kwenye hiyo ngo akamsanua kua binti alikuwa anapigwa Paipu ili kulinda cheo na mkataba. Tena alikuwa awekwa paipu na bosi ofisini juu ya meza, nyaraka na laptop zinasogezwa pembeni kisha binti anapigwa paipu juu ya meza. Mwamba tena akakazia kuwa ashawahi kusikia milio ya huyo dada ofisini mida ya jioni mno watu wote wakiwa hawapo ofisini tokea chumba cha ofisi ya boss. Siku nyingine mwamba anasema alisikia milio kama mtu anapiga makofi, zile Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Toka ofisini kwa boss jamaa akajua ni Paipu inaendelea, zile pwa! Pwa! Ni nyama nyama alizonazo binti ndio zilikua zinatoa milio.

Mwamba alimalizia na kisa kuwa bosi alishawahi kupiga paipu juu ya meza mpaka akaivunja meza ya ofisini [emoji1787][emoji1787]. Kutokana na nyama nyama za haja alizokuwa nazo binti na uzito na moto wa bosi, basi meza ikavunjika. Mwamba yeye aliipakia kuipeleka kwa fundi, hiyo meza iliyobomoka.

Baada ya jamaa kupokea hilo faili. Mipango ya ndoa ikayeyuka
Yaani mkuu unanifungua kitu sababu yeye katika maongezi Huwa namjaribu niende kwake Likizo nkakae hata Mwezi

Hataki anataka yeye ndio awe anakuja huku na anaharakisha mtoto nahisi nimfahamu wakati tayari Nina mtoto nae
 
Hizo ni siri za ndani mno. Hata mimi kuna jamaa yangu almanusura aoe binti wa ngo mwenye maokoto ya kutosha,kuna mwamba rafiki yake alikuwa dereva kwenye hiyo ngo akamsanua kua binti alikuwa anapigwa Paipu ili kulinda cheo na mkataba. Tena alikuwa awekwa paipu na bosi ofisini juu ya meza, nyaraka na laptop zinasogezwa pembeni kisha binti anapigwa paipu juu ya meza. Mwamba tena akakazia kuwa ashawahi kusikia milio ya huyo dada ofisini mida ya jioni mno watu wote wakiwa hawapo ofisini tokea chumba cha ofisi ya boss. Siku nyingine mwamba anasema alisikia milio kama mtu anapiga makofi, zile Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Toka ofisini kwa boss jamaa akajua ni Paipu inaendelea, zile pwa! Pwa! Ni nyama nyama alizonazo binti ndio zilikua zinatoa mlio.

Baada ya jamaa kupokea hilo faili. Mipango ya ndoa ikayeyuka
Sijajua na huko UN maana kuna binti wa UN nilipigiwa pande na Senior wangu mmoja kazini ambaye mke wake na huyo binti ni marafiki.Nae huyo binti yupo vizuri kiuchumi na ni mzuri,ila kwa kipindi hiko nilikuwa na mahusiano ninayo ya heshimu sana.

Huyo binti mwenyewe wa NGO kisha force sana kutaka kwenda kukaa kwa mwana na sometimes anaforce aonane na wazazi wa mwana sema mwana anamzungusha sana, demu bado hajakata tamaa na mwana mwenye ana kidemu Chake kibichi under 25 ndicho anataka kukioa.

Ila dada zetu wanapitia mengi sana makazini,kuna ofisi moja nilikuwa nafanya kazi, ilikuwa hatari masenior nilio wakuta walikuwa wamenipa list ya mademu ambao sikutakiwa kuwatongoza,kwani ni vyakula vya maboss,pisi za ukweli unaishia kula kwa macho.
 
Yaani mkuu unanifungua kitu sababu yeye katika maongezi Huwa namjaribu niende kwake Likizo nkakae hata Mwezi

Hataki anataka yeye ndio awe anakuja huku na anaharakisha mtoto nahisi nimfahamu wakati tayari Nina mtoto nae
Duh! Kuna jamaa yangu anajuaga kufukua makaburi mno alikuwa anasemaga Ukiona anajilinda sana ujue ni noma. Au muhoji juu ya mapato yake ukilinganisha na mali alizonazo kama nyumba, viwanja n.k. ukiona havilingani na mshahara wake shtuka. Au ukiona ukimuuliza maswali majibu hayanyooki au hakujibu au anapanick ukimuuliza maswali shtuka. Ukienda mtaani kwake zoeana na bodaboda wa mtaani kwake ukimpa posho atakupa mafaili.
Au sogea mitaa ya ofisini kwao zoeana na mlinzi au dereva au mshkaji anayefanya kazi nae au mfanyakazi mwenzake. Mafaili utayapata.
 
Sijajua na huko UN maana kuna binti wa UN nilipigiwa pande na Senior wangu mmoja kazini ambaye mke wake na huyo binti ni marafiki.Nae huyo binti yupo vizuri kiuchumi na ni mzuri,ila kwa kipindi hiko nilikuwa na mahusiano ninayo ya heshimu sana.

Huyo binti mwenyewe wa NGO kisha force sana kutaka kwenda kukaa kwa mwana na sometimes anaforce aonane na wazazi wa mwana sema mwana anamzungusha sana, demu bado hajakata tamaa na mwana mwenye ana kidemu Chake kibichi under 25 ndicho anataka kukioa.

Ila dada zetu wanapitia mengi sana makazini,kuna ofisi moja nilikuwa nafanya kazi, ilikuwa hatari masenior nilio wakuta walikuwa wamenipa list ya mademu ambao sikutakiwa kuwatongoza,kwani ni vyakula vya maboss,pisi za ukweli unaishia kula kwa macho.
Ni hatari mno. Na kwenye ngo hao senior huwa wana nguvu mno. Ni vigumu binti kukataa kuliwa.
 
Asantee mkuu lakini nimemgusia suala Hilo la kupima kabla ya contact akaniambia sawa tutafanya maamuzi hayo

Na amekubali Hilo
Anajiweza kiuchumi then anaforce mzae.

Atakuwa na malengo haya:

1. Kupata mtoto kwa namna yeyote ile, namna aliyoanza ni hiyo
2. Hana mpango wa kuingia kwenye ndoa, akitimiza tu hilo la 1 anamove on.

Kila la kheri kwenye kufanya maamuzi.
 
Hapo kweny mabinti ktk hizo NGO kwamba wanatembezewa Mashine, umenifungua kitu. Kuna binti nilisoma nae O-Level,yeye kwa sasa hivi ana gari mbili na nyumba mbili 35yr,hana mtoto ila nae anahaha kutafuta mume ni binti mzuri mno ila kuna mwana aliniambia kuna mmoja wa Wakurugenzi wa hiyo NGO ambaye ni raia wa nje alikuwa anapiga (nyumba ndogo), ila kwa sasa hilo Danga mkataba wake umeisha amerudi kwenye familia yake.

Binti anahaha kwa sasa kuna mwanangu mmoja,ambaye tulisoma wote darasa moja na huyo binti anamng'ang'ania amuoe, mwamba hana time naye anamzungusha na hajawahi kupiga,mwamba mwenyewe naye itikadi zake anapenda wasichana wabichi na mfukoni kidogo tupo vizuri ila sio kwa level za yule binti.
nipe huyo binti nimuoe mimi nijilipue tu
 
Habari wakuu,

Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri

Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana corridor za chuoni

Kweli nilipomuona nkatoka ofisini kwangu nimsalimie pia nimkumbushe sababu yeye alidai kanisahau

Tukabadilishana namba tukawa tunawasiliana hatukuzidi miezi 4 tukaanza Mahusiano. Kikwazo kikubwa tupo mikoa tofauti na yeye yupo NGO'S na Mimi nipo Serikalini.

Kweli ni mwanamke ambae kanishinda maendeleo ameshajenga ana viwanja na asset na mshahara mkubwa simpati

Kweli hatuna mwezi katika Mahusiano yetu lakini wimbo wake Tuzae. Mpaka namwambia hatujawahi kuwa karibu hata kuchunguzana kwa muda mfupi tunaishi mikoa tofauti kwasasa itakuaje katika malezi.

Yeye anasema atamhudumia mtoto anachotaka tu Mimi nitambulike kwao.

Na maisha ya kwao kweli ni Mazuri.

Nimebaki njia panda kwanini aharakishe haya masuala na Mimi nimemuambia anipe muda kusudi nijipange procedure za kumuoa kwanza nianze tupate muda kufahamiana kwa ukaribu zaidi.

Nisaidieni mawazo yenu.
Zaa tu then ukifika muda wa huduma unaitwa wasafi media sahivi ndio tabia zao hao.. hawataki kabisa uwe na amani hawa viumbe..
 
Back
Top Bottom