Ni wanaume tu ambao wanaweza kudate na wanawake walio broke hawana kazi wala kipato
Ila ni ngumu sana mwanamke kudate na broke man kidume anayejitafuta
Ndio maana mwanaume ukijipata lazima uweke standards za maana za mwanamke wa kufanya naye maisha
Usikubali kufanya maisha na mwanamke ambaye alikudharau wakati unajitafuta
Usikubali kufanya maisha na mwanamke ombaomba na masikini, aina hii ya wanawake ndio ambao huwa wanawadharau wanaume wanaojitafuta
Angalia ana mchango gani katika mahusiano yenu kama mchango wake ni uchi tu tena ulio used hit her and run
Never date a woman who doesn't bring anything tangible to the table