Kwenye gari kila kitu jina sehemu yake. Oil.mafuta ya breki, hydrolic ,greesi. SAsa fanya viceversa uone weka oil kwenye sehemu ya breki fluid utapata. Na mungu aliumba kila sehemu na mwenzake. Bakteria na mavirus ya mdomoni nitofauti na ya sehemu nyingine ndoo maana magonjwa yamezidi.