Mwanamke anaweza kufika kileleni mara tatu mfululizo!!

Mwanamke anaweza kufika kileleni mara tatu mfululizo!!

25f0276f8d95f9458aa770cef3799eca.jpg
 
mpama,
Hiyo ni kweli mkuu. Kitaalamu ili sehemu iwe na msisimko mkubwa ni lazima kuna na 'nerve endings' nyingi. Kwa upande wa papuchi eneo la karibu na nje lina nerve endings nyingi mno ukilinganisha na kule ndani mwishoni mwishoni mwa papuchi. Eneo pekee ambalo lipo sensitive sana kule ndani mwishoni ni 'A spot'
 
Hiyo ni kweli mkuu. Kitaalamu ili sehemu iwe na msisimko mkubwa ni lazima kue na 'nerve endings' nyingi. Kwa upande wa papuchi eneo la karibu na nje lina nerve endings nyingi mno ukilinganisha na kule ndani mwishoni mwishoni mwa papuchi. Eneo pekee ambalo lipo sensitive sana kule ndani mwishoni ni 'A spot'
Haswaaah!! ===kabxa
 
Je atakubali utumie kidole? Kuna hii tabia ya watoto wa kike kukataa mwanaume asitumie kidole kwa kumchezea uko chini.
Hili ni tatizo kubwa sana, mwanamke anagoma kabisa usimguse na kidole yeye anataka dushe tu.
Kila mtu ana g spot yake mahali pake kama alivyosema mkuu mmoja huko juu haiko specific kuwa iko sehemu moja mwingine nje...mwingine ndani kabisaa mwingine pembeni...mwingine kwenye kuta. Am woman
So ukiona hataki ujue her g spot iko huko anakotaka dushe iende usimlazimishe ukuona anakubali kidole kipite huko anakotaka kiende either nje au wap jua huko ndiko hasa kwenyewe. Ndio maana kuna wakati utasikia "hapo hapo, weka yote e.t.c.

N.B. 1. Wengine wakichezeaga kwa vidole wanakuwa na makucha au unakuta anaumia

2. G spot haiko specific pale utakapoona ukigusa mkeo akapagawa ujue ndo penyewe hasaa....sometimes jaribuni kuuliza nikigusa wapi au nkifanya nini huwa unahisi raha isio ya kawaida na sio akisema tena usifanye na hasa mnaonaga ku msuck ni adhabu lazima mchapiwe..RAHA ISIYO YA KAWAIDA and tht might be her place fr G SPOT.[emoji375][emoji375]
 
Kwanza siyo G Sport ni G Spot.

Pia hiko kitu hakipo verified kama kipo kweli, wanawake waliofanyiwa utafiti kila mmoja alikuja na majibu yanayokinzana.

Ugunduzi wa hivi karibuni umeona kua Kisimi kimeanzia ndani mno kiasi kwamba wanasayansi wanaona kua inawezekana kilichokua kinadhaniwa kua ni g spot ni sehemu ya kisimi ambayo imesogea mpaka humo ndani.

Pia kila mwanamke ana feelings zake hakuna magic button (g spot) ambayo ukiibonyeza tu hapo hapo mtu atamwaga.
Umesema vizuri.
 
Mama Confidence,
Umenikosha sana mkuu... Tatizo wanawake wengi hawapo huru kuwaeleza wenzi wao hasa nini wanataka pindi wanapoona hawajatendewa ipasavyo, hata kama mwanaume ataamua kuvunja ukimya atajibiwa mambo yapo vema.

Wanaume wengine nao wakifundishwa wanaona kama wanadhalilishwa, so baada ya kujenga inakua ni kubomoa.[emoji22]

Ukiwa na mwenza wako na wote mkajiwekea uhuru wa kusema kwa upole, kusikilizana na kufundishana hakika tendo hilo mtaona ni zawadi ya kipekee [emoji39] [emoji39]
 
Afu Kuna jamaa yangu I don't know kama alinichukua maelezo au viph aliniambia eti akipiga mzigo akisharudi first time apitii refractory period Kuna ukweli mkuu honspoon???
 
Afu Kuna jamaa yangu I don't know kama alinichukua maelezo au viph aliniambia eti akipiga mzigo akisharudi first time apitii refractory period Kuna ukweli mkuu honspoon???

Kuna baadhi ya drugs zinachokifanya zina-affect zile hormones mbili nlizozitaja awali, ambazo kwa asilimia kubwa ndo zipo responsible na hiyo refractory period kwa mwanaume, mfano viagra, erecto n.k. hufanya level ya hormones isidrop baada ya mwanaume kufika kileleni, na hivyo kuleta uwezekano wa kutopitia hiyo refractory period. Ila hizo drugs sio nzuri. Ila some sources zinasema kua wapo wanaume wachache sana ambao wanaweza wasipitie kabisa huo mda, au wakapitia kwa sekunde kama 10 na walaendelea na show.

Na kuhusu mda kama ulivyouliza awali, wanaume tunatofautiana. Wapo ambao refractory period yao ni ndogo kabisa, huku wengine ni kubwa. Kibaiolojia utofauti huo unaletwa na level ya zile hormones mbili mwilini. Lakini kisaikolojia inategemea demu ulinaye una hisia nae kiasi gani.

Kuna utafiti uliwahi kufanyika na ikaonekana kua vijana kuanzia miaka 18 wastani wa refractory period yao ni dakika 15, wakati wale walio kwenye miaka kama 70 huchkua kama masaa 20. Ila huo utafiti ukasema kua wastani wa jumla wa wanaume ni kama nusu saa hivi.
 
Back
Top Bottom