Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Hata sisi tukichepuka bado tunakuwa na mapenzi nanyi jamani, ndio maana huwa hatuhamii kwa michepuko na watoto tukizaa mnalea nyie waume zetu. Ikijulikana basi mtusamehe tu tuendelee kusongesha maisha.
Duh! [emoji21] [emoji21]
 
Wanaume mngekuwa mnaweka angalau robo ya hizi nguvu mnazitumia kuzini kwenye mambo ya familia hii nchi ingekuwa mbali saaana. Kama wewe ni mtu mzima mwenye mke na watoto na unachagua kuenda kulala na mwanamke asie wako, na wewe unastahili kumegewa. What goes around comes back around.

Tulieni ! Kama unajijua huwezi kujizuia basi usioe kabisa.

 
Bila sisi kuwepo mtachepuka na nani? Mbwa???
Hoja ni kuwa Mwanamke akichepuka anakuwa from that day anakuwa hana heshima kwa Mume wake tena na upendo hupotea kabisa yaani inabaki kuishi kwa mazoe.. Unajua Mnachangia kwa mihemuko tu.. Hakuna aliyesema kuwa mkichepuka sijui mnafanya na nani.. The issues is Matokeo yanayokuwepo baada ya Mwanamke kuchepuka kinamdadilisha kutoka kwenye utu na kuwa Mtu mwenye malipizo kwa Mume wako... Na kumbuka tofautisha Mwanamke anayemsaliti Mume wake na Mwanamke anayemsaliti Mchepuko wake. Mleta mada ameongelea Watu wenye Mahusiano ya Mme na Mke.. Msije changanya maada hapa sawa Mchepukaji demi
 
kwahyo sie hatuumii eh
Ndiyo maana nikasema ''hakuna kitu kinachoumiza km usaliti''
Usaliti una umiza kote kote haimaanishi ww ni jinsia gani.
Ili utengeneze ndoa yenye furaha na amani vitu km usaliti, chuki, hasira n.k visiwepo.
-Ukimwaga mboga nakula ugali maana yake mtu anayekusaliti mpe uhuru (Mwache aende). Tafuta mwingine jenga naye familia.
-ukisema akimwaga mboga namwaga ugali sasa hapo (mtabaki na njaa wote)mnakaribisha magonjwa
Siyo watu wote ni wasaliti kwenye mapenzi kuna watu wema kbsa ambao ukikutana nao hautaweza kuamini.
 


ni sawa usemayo !
 
Yaan tunda unalonipa mm then unaenda kumpa boy mwenzangu, zile style zote unazonipa unaenda kumpa pia na mchepuko, Aaaaah ngumu kumeza aisee.
Inshort Dada zangu msitufanyie hayo pls
Akimnyima baadhi ya style kuchepuka hakuumizi au unamaanisha nini?
 
Reactions: ovi
Mimi nashangaa hawa wanaume wapumbuvu sana eti wanazuia wanawake kujipa raha na michepuko yao kama hawawezi ndoa zenye michepuko si wakae bila kuoa ili wanaume wanaokubali wake zao kuchepuka waendelee kufaidi maisha ya ndoa.
 
Reactions: ovi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…