Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mamateh teh jela toka ijumaa !@inna na Saint Ivuga sio kabisa aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mamateh teh jela toka ijumaa !@inna na Saint Ivuga sio kabisa aisee!
Cha ajabu ni kwamba watu wanatukana hawapati banhahahaha wewe soon unakula ban tena !ukweli nilishangaa sana yaan mn hatujaandika mabaya !argggghhhhhhhhh !kwahyo niseme ni WIVU ? hahahah mie simoo !unamchongea Inna ujue?? hahah tusamehe tuendelee na maisha !nimecheka sana
Ni follow mm nikakunyonye nyonye makucha na vumbi..
Cha ajabu ni kwamba watu wanatukana hawapati ban
Ila sitaingilia tena mambo yenu na Ivuga khaaa
Pole kwa lockup nilikumiss saaaanai think ni uzi wa dk slaa kupata kazi supermakt !ivugaa akaanza yake bas tukawa km tunatongozana plus mkewe inna !lol !later naambiwa nimeandka jukwaa la siasa nje ya post nikahis ni [HASHTAG]#mitongozo[/HASHTAG] ya Saint Ivuga
Pole kwa lockup nilikumiss saaaana
pole kwa ban mrs pampula na karibu tena. Huu uzi nacheka tu, sitaki kucomment tehahhahahah kwamba kila mmoja arudi kwenye kiota chake ahaha mnamfundisha nn@heaven sent nyie wadada lakini ?
Mie sijasoma kabisa teh
Sio bule wewe Utakuwa wa kule kwenye wajane wengi kuliko .Mara ngapi michepuko yenu inaangamiza familia kwa kuvidindisha visangara vyenu????
Haramu tamu km kwenu halali mjiandae kufwa tu
hayo sio maneno matatu ni SILABI tatu. Karibu ktk ulimwengu wa kiswahili mkuu. Naunga mkono hoja ila sharti nawewe mwanaume uwe msafi na hujawahi kutoka nje ya ndoa.Mke akianza kuchepuka ni maneno matatu tu FU KU ZA .
[emoji134]hayo sio maneno ni SILABI. Karibu ktk ulimwengu wa kiswahili mkuu
Sio kwa wendawazimu huo lol....hata wanyama wanawazid akili sometimesVumilieni tu jamani ni nature tu.
ahhahahahw wewe na Evelyn Salt huwa mnanifanya nicheke jaman !hahaha Nalendwa muuaji wa kimya kimya !
Nalendwa yuko busy na mzee wa kiduku huku haji siku hizi. Sijui ameahidiwa nini maana sio kwa juhudi zile.
hahaha namuona sana lol