Ipo indiahiyo nature ya wapi?ni nature mwanaume kuwa na mwanamke zaid ya mmoja,ila hiyo nature ya mwanamke kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja sijawahi isikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo indiahiyo nature ya wapi?ni nature mwanaume kuwa na mwanamke zaid ya mmoja,ila hiyo nature ya mwanamke kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja sijawahi isikia
Haya kayaandika professor wa social psychology wa Ohio State University sema tuu jamaa kafasiri na hajaonesha alikotoa au source. Huyu anaitwa Arkin R.MMkuu tramadol, kama haya umeyatiririka kavukavu bila "kutazamia" seem, basi nikusifu kuwa wewe ni zaidi ya "jinias".
Mambo yote uliyoyaongea ni mambo halisi ambayo hayahitaji kusahihishwa.
EM hajambo ule michepuko wako Eng.Tafiti tafiti tafiti my foot!!!
Nyie halali kwetu haramu!!
G
Haramu tamu na bado mtatafiti sana usiposimamia show vizuri ukileta ujeuri ndani ni kuwaua tu ili usaidiwe uanaume wako vizuri,
Mliumbwa kwa mfano wa Mungu sasa mada zenu za kujiliza Liza humu mnamuaibisha aliyetoa wazo la nyie kuwa wa kwanza kuumbwa
No permanent truth but at least closer to the truth.Kuna ukweli mkubwa sana ndani yake...ila kama kawaida hakuna 'one size fits all' kwenye hili suala.
Heaven Sent unaikumbuka hili jina? kuna uzi mmoja alitokea kufungukaaa !nadhan ulikua unahuus rlshp km sikosei !tukatokea kumpendaaa !mwee!
fact!No permanent truth but at least closer to the truth.