Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Nimekuelewa mkuu kwa asilimia za kutosha tu
 
Wanawake wa miaka ipi hiyo unaowazungumzia?????


Siku hizi wanawake wanatafuta kojo tu.....

Kupenda wameachiwa wanafunzi.
Mwanamume anachepuka kwa kutamani na wala sio kwa sababu ya kupenda ila Wanawake huchepuka kwa sababu wamependa kwa dhati toka moyoni.


Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo wewe ukigegeda fresh akigegedwa mwenzio hatari....[emoji849]
Exactly. Maumbule ya mtu mume na Yale ya mke ni tofauti kabisa.

Wewe ukigegedwa jamaa ataacha uchafu wake ndani yako na nikitaka haki yangu Nitaendelea kujipakaa hilo janaba.

Nadhani umenielewa.


Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nachojua Mwanamke anaweza akawa anagongwa na wajuba kama wote bila kuwapenda wala nini!,

Labda ulikuwa unamaanisha Wanawake wa Rússia mkuu?


Ni kweli sababu wengi wao wanasukumwa na tamaa ya pesa .

Labda Kwa wachache ambao they are not after money rather than true love
 
Nitamuelewa yule Mwanaume ambaye ametulia na mkewe bila kuchepuka lakini kama ni mchepukaji basi ni tit for tat!

Cheni bandia kununuliwa kwa note bandia!
 
Hata wanasaikojia wanakwambia ni hatari mtu kuishi Kwa sononi.

Yani mumeo achepuke na malaya lakini kuumia uumie wewe mke?

Kataaa hiyo!

Unaambiwa na wewe itafute furaha yako uipate!

Ilimradi iwe Kwa umakini na salama na kuepuka kujidhalilisha kwa kutoka na Mario au watu ambao wako below your status!
 
Kwa Kweli iwapo Mwanaume ametulia hachepuki halafu mke akawa mchepuko huwa inatia huruma sana kwa yule Mwanaume kwenye jamii.

Unakuta Mwanaume wa watu ni mwaminifu kabisa lakini inakuwa kama yale ya Nabii Hosea kuoa kahaba!

Tena huwa inasikitisha sana!

Lakini kunawaga na mengineyo tusoyajua tulioko nje!
 
Mithali 31:10 nakuendelea

Kuna mstari unasema;

Mke mwema huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake (Yani including mumewe).

Sasa ewe Mwanamke inakuwaje mumeo awe na michepuko usijue tena kwa muda mrefu?

Tena wengine hadi mimba inategeshwa na mchepuko, inakuwa miezi 9,
Mtoto anazaliwa na kukua Mwaka wa kwanza na kuendelea lakini mke hujaweza kuwastukia?

Mnakwama wapi kina mama? [emoji2368][emoji2369]

Kuna mahusiano mengi mke ukiyawahi kuyastukia na kuwakomesha inaweza saidia mahusiano yao yasiweke mizizi na kumaliza rasilimali za familia.
 
It worth much for a wife to cheat than a husband when other things remain constant [emoji108][emoji108]

Because it leads to cash inflows to the family , unlike husbands it resulting in cash outflow from the family, hence westage of family resources.

Ni nadra sana kukuta mchepuko Mwanaume kumroga mkeo.

Kwenye tasnia ya mahusiano ya kimapenzi wanawake michepuko ndio huongoza kwa ushirikina na uchawi kuliko michepuko wanaume.

Michepuko mingi ya kike huroga waume za watu , isipokuwa labda kama siyo tegemezi.

Lakini ukute mchepuko anaishi mjini Kwa kubangaiza tu, kipato chake cha mashaka au hana kabisa shughuli ya kuingiza kipato hata cha shilingi 100 Kwa siku aaah na ni cha kujikimu tu lazima Mwanaume urogwe!

Kwenye akili yake inamtuma akiroge akushike ili usije ukwmuacha , ukimuacha atapata wapi wa kumpa hela mwingine?

Maana kuna wanaume wengine wanajielewa humwibii na ukimroga anajua cha kufanya!

Buyer beware!
 
Imagine mume simu ina password kwa screen...wasap anazo mbili...moja inafumguliwa na finger print[emoji16][emoji16]

Sio mwizi kweli huyo.....
 
Amen,mama mchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…