Mithali 31:10 nakuendelea
Kuna mstari unasema;
Mke mwema huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake (Yani including mumewe).
Sasa ewe Mwanamke inakuwaje mumeo awe na michepuko usijue tena kwa muda mrefu?
Tena wengine hadi mimba inategeshwa na mchepuko, inakuwa miezi 9,
Mtoto anazaliwa na kukua Mwaka wa kwanza na kuendelea lakini mke hujaweza kuwastukia?
Mnakwama wapi kina mama? [emoji2368][emoji2369]
Kuna mahusiano mengi mke ukiyawahi kuyastukia na kuwakomesha inaweza saidia mahusiano yao yasiweke mizizi na kumaliza rasilimali za familia.