Mwanamke Anayehitaji Mume Bora For Future.

Mwanamke Anayehitaji Mume Bora For Future.

deportivo

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
26
Reaction score
19
Umri Wangu Miaka 23
Makazi Dar es Salaam..
Other Details Utazifahamu Once Tutakapo Wasiliana.Ukipendezewa Zaidi Kunifahamu PM Ipowazi Tutazungumza Kinagaubaga.
 
23 yrs unatafuta mke humu JF ..?
Sawa labda we ni dogo janja unamtafuta uwoya
Utafutaji mwema
 
Kuoa ni kuanzia miaka 30 kijana usijichanganye utajutia, chini ya hapo huwa tunadanganya tu tule mzigo
 
N Kweli Kaka Lakini Sidhani Kama Ninemanisha Nataka Kuoa Kwa Sasa...Bali N Luwa Na Mtu Ambaye Tutanzisha Msingi Wa Mahusiano Mapema Ili Kusudi Mbele Ya Safari Kila Mmoja Wetu Akiridhia Tabia Ya Mwenzake Ndipo Ndoa Inapofikiriwa Sasa Na Inaweza Chukua Hata Miaka 4 Mbele.
 
Kijana akili haijapevuka bado kuhusu mahusiano na hata ndoa
Dunia ni darasa tosha ushauri wa bure hebu jikite kumtafuta Mungu kwanza kwa Moyo wote basi atakupatia hitaji lako kwa wakati sahihi
 
At 23 kwelii? hata kama huna mpango wa kuoa sahivi, keep your mind occupied with more important stuffs bro.
 
Back
Top Bottom