Mwanamke Anayehitaji Mume Bora For Future.

Mwanamke Anayehitaji Mume Bora For Future.

Njoo na hii miller utaonekana uko siriaz labda na mimi utanbadilisha mtzamo mabandiko ya humu,humu kuna bore new member tu ndo wanaotafutaga,expert ni miss natafuta tu labda na wewe ukija
unanishauri nini...nije na hii au new member!
ombi lako limekuja kiukweli au kiutani?
 
Subir ukue kdgo kijana....mbona hujaonja hata ujana!!!
 
Njoo na hii miller utaonekana uko siriaz labda na mimi utanbadilisha mtzamo mabandiko ya humu,humu kuna bore new member tu ndo wanaotafutaga,expert ni miss natafuta tu labda na wewe ukija
sawa ngoja niandae maneno ya kuandika amu
 
Kuna watu wanasema et wenyewe wana miaka 23 wako Facebook wakati alikuja kijana wa umri huo ONTARIO akawatetemesha mbaya sana na wengine hata liquidity wamezidiwa nae isitoshe elimu ya maisha...

Badilikeni acheni kuponda nendeni pm alikowaita yeye ndio atakae amua atakae..
 
23???? Unataka kuoa??? Unadhani kuoa ni sawa na kunywa chai na vitumbua eeeh....unaijua ndoa wewe?
 
Back
Top Bottom