Mwanamke anayeingia hedhi kila ifikapo tar 21(haibadiliki), mzunguko wake ni wa siku ngapi?

Mwanamke anayeingia hedhi kila ifikapo tar 21(haibadiliki), mzunguko wake ni wa siku ngapi?

FredMaria

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
53
Reaction score
55
Habari watu wa JF

Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which.

Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa manzi yangu huyo ni vipi siku ziko naweza pata mtoto mvulana?
 
Mzunguko wwake unasiku 22, siku za hatar ni 4_9 baada ya hedhi.
 
Mzunguko wake ni siku 30 kwa huyu anaweza aka bleed kwa siku tano na siku za hatari ni kuanzia siku ya kumi na moja hadi kumi na tano tangu aanze bleed
 
Mzunguko wake ni siku 30 kwa huyu anaweza aka bleed kwa siku tano na siku za hatari ni kuanzia siku ya kumi na moja hadi kumi na tano tangu aanze bleed
Mkuu maelezo yako yamehit kwenye point make bleed yake inadum siku tano..
 
Back
Top Bottom