Salute wana-JF!
Yangu ni machache tu. Mimi ni mwanamume wa miaka 43. Nilioa tukaachana kutokana na matatizo ya ndoa [details nazihifadhi]. Tulijaliwa watoto 3. Siwezi kuishi maisha yangu yaliyosalia bila kuwa na mke. Hivyo basi naja mbele zenu nikijua ya kuwa ujumbe huu unaweza kuwa unamhusu mwanamke fulani. Maelezo zaidi kunihusu mimi:
- Mkristo, elimu ya Chuo kikuu
- Nimeajiriwa lakini pia napenda kufanya biashara
Mwanamke ninayemtafuta anaweza kuwa wa aina yoyote: mjane, aliyeachika, ambaye bado hata hajaolewa, mwenye mtoto, asiye na mtoto, n.k.
- Kikubwa kwangu nachokiangalia ni dhamira ya dhati ya kuamua kuishi maisha ya kifamilia, kuwa na mtizamo wa mbele.
Mrembo/mwenye umbo la kupendeza atapewa kipaumbele.
Njoo PM.