Mwanamke anayejitambua aje PM

Mwanamke anayejitambua aje PM

Urembo/ umbo la kupendeza sio vigezo vya muhimu kwenye kutafuta mwenza....Omba upate mwanamke aliye na uzuri wa ndani sio huo wa nje, na hivi una watoto 3 tayari ni changamoto kupata mwanamke atakayewalea kama wanae....ila kama unataka mwanamke wa show off sawa!!!
 
wanawake fursa hiyo,siyo mnakwenda kwa manabii kuombewa kupata mume halafu mnadelay kuchangamkia hyo fursa
 
Kwa nini mnakatisha watu tamaa? Kwani walio huko mitaani hawatumii mitandao? Au wewe unaishi wapi mwenzetu kama sio mtaani? 43 ni mtu mzima na anajua nini anafanya, atleast mtakie kila la heri tu inatosha kha!
Haya mkuu nimekuelewa. Nisamehe. Ulikuwa mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom