Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
i am oficially applying TO DIFFER WITH YOU!....
i mean hiyo ni ONESELF REACTION!....and guess what ni udhaifu mkubwa...
inaweza kuwa ni uamuzi sahihi lakini on the other hand sio sahihi(UNLESS YOU PROVE IT SCIENTIFICALLY)
kwasaabu gani....!wapo waliowafukuza wake zao kwa kuwafumania mara moja,AGAIN WALIKUJA KUOA WANAWAKE AMBAO WALIKUWA WANAWAFUMANIA MARA MOJA KILA WIKI!....the opposite is the case then!
lakini pia sijawahi kuona mwanamke anamtimua mwanaume ''chini ya jua''
najizungumzia mie hapa, nakutimua kabisa...na nimetoa mfano wa ndugu yangu naye alitimua mwanaume....