Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Hawa wenye kisu inabidi uwe mjanja jinsi ya kudili nao....unamtumia kwa muda tu halafu unasepa. Ukiweka maskani kwa muda mrefu watakufanya mtumwa....ogopa sana hawa kina JS...

Hapo komredi inatakiwa kumega na kulala mbele, alafu unamchuna kweli kweli huku ukiwekeza kwenu.
 
Sina hela ila naweza kushare na wewe chochote nilichonacho

Hutaninyanyasa kweli na hicho ulichonacho wewe? Isije ikawa mambo ya 'wewe Ngabu kichwa chako...si nilikwambia ukate hii michongoma tokea majuzi na mpaka leo hujaikata. Fungasha virago vyako na ondoka na usirudi tena.'......
 
Wadada wenye pesa na hali nzuri mm nawaogopa sana.
Kuna ndugu na rafiki zangu kadhaa walibahatika kuoa wadada wa design hii leo wanalia na kusaga meno, wadada tuongee ukweli wakiwa na pesa na wakiolewa jamaa kaja kaona mafanikio kama hayo jiulize nn kitatokea kwa mdau??? Muulize Teamo na Asprin

sio wote bwana Fidel80 kuna wengine wanazo kweli pesa lakini full respect, wapole mno, maadili mbele ila wengine wanakuwaga na nyodo hadi wanaboa cha muhimu ni kumwomba Mungu ukitaka kufanya maamuzi ya ku oa/olewa.
kwa wadada, unaweza kuolewa na mwanamme unayemzidi uwezo wa kifedha lakini akakunyanyasa vile vile ila ukimweka Mungu mbele lazima atakupa wa kufanana naye, na mtaishi fresh kabisa. respect:love:
 
Hapo komredi inatakiwa kumega na kulala mbele, alafu unamchuna kweli kweli huku ukiwekeza kwenu.

mnaona sasa jinc gani hamsaidiki? unaweza kukuta mwenzio ana mapenzi ya kweli kwako wewe akili yako ndio hiyo, inaboa kwa kweli.
 
Waswahili wanasema kwenye wabaya wako na mwema hakosi!

Inaweza ikakuchukua muda mrefu zaidi ya wengine kupata mwenza but no doubt utapata tu

Sasa chukulia mfano mtu tayari Ana pesa yake, akazi flush ****** ili apate mume au?!

Komaa nao dada, unaweza usiitafute pesa na ukakosa mume vile vile!
 
Atatumia pesa yake kama bakora kukuadhibu na kama ndo unaishi kwake dah unakuwa mtumwa nimeshuhudia jamaa zangu

Kwa hiyo Fidel huwezi oa kabisa demu ambaye mambo yake yako safi? huwezi kabisa????
 
Waswahili wanasema kwenye wabaya wako na mwema hakosi!

Inaweza ikakuchukua muda mrefu zaidi ya wengine kupata mwenza but no doubt utapata tu

Sasa chukulia mfano mtu tayari Ana pesa yake, akazi flush ****** ili apate mume au?!

Komaa nao dada, unaweza usiitafute pesa na ukakosa mume vile vile!

atleast ukiwa nazo utatumia mbinu za kuwapata hao wanaume kwa namna moja au nyingine kuliko kuzikosa kabisa na huwapati na ukiwapata wanakukimbia coz unawahorodheshea matatizo....JS ackuambie mtu saka faranga mpaka ukamilifu wa dahari.
 
Kabisa na kwa wengine wote waendelee kuzisaka hizo faranga. i beleive kila mtu amepangiwa mwenza wake na Mungu.
 
Ya...very scared....
but hold on....umesema hii case yako?

Hapana sijasema ni case yangu yalikuwa mazungumzo tu ya kawaida. Case ni ile nyingine kule pembezoni kafanye rejea

:focus:: RR dont be scared why should you? just bet on them balls and everything itakuwa super poa
 
Dear JS...
Simple fact ni kwamba maisha sio straight foward...kuna ups&downs...kuna sharp bends, sasa linapokuja suala la misunderstanding yoyote kila mtu anatumia udhaifu wa mwenzake kama 'fighting tool'....and guess what?? What happnes if she is holding both of ur good balls in her hands during a fight...
 
Fidel mwaya usimsikilize NN wewe kama kuna demu umempenda mtokee tu na umuoe kama una nia hiyo

Mi wa design hiyo huwa sisumbuki kutangaza NIA mm namega tu na kusepa
 
He!he!heeee.....binamu upo ww??

JS

JF Senior Expert Member

Mchichaaaaaaa.....where is Teamo....? Lucas Pub ha!ha!aa.....! will be back to comment!
 
Hebu Ngoja nifumbe macho nichangie hii mada kwa mtazamo wangu kwa baadhi ya Kina dada...
Ni kweli kabisa baadhi ya kina dada wakiwa mambo saafi manyanyaso yanaanza kwa jamaa ..siku za mwanzo wakati penzi liko hot hakuna tofauti itakayoonekana hapo..lakini jinsi maisha yanavyoendelea baadae mtu anaanza kujiona bora kuliko mwenzie.. anafanya majambo jamaa akiuliza ni tatizo hata kama ana haki ya kuuliza
Zinaanza zile atanifanya nini mie kwanza uwezo wa kujitunza kwa mahitaj yote ninayo..
Hanibabaishi huyu hana lolote ....
Huwa naona ka shost kangu fulani kanavyompeleka shemeji yangu:A S angry:
Sijui baadhi ya mioyo yetu imetengenezwaje?
 
Hii inatokea kwa w/ume na w/wake kwa sababu hata kwa mwanaume unapokuwa na pesa kupita kiasi inakuwa ngumu sana kupata mtu mwenye mapenzi ya kweli kwa kuwa wengi watakuwa wanakuwinda na kujipendekeza kwa kutaka pesa na vile vile kwa m/mke unapokuwa na pesa na mali nyingi wanaume wanaweza kukufuata tu kwa sababu ya pesa yako na ili walelewe
 
He!he!heeee.....binamu upo ww??

JS

JF Senior Expert Member

Mchichaaaaaaa.....where is Teamo....? Lucas Pub ha!ha!aa.....! will be back to comment!

Nipo na uache uchokozi kwa nini umeeka avatar yangu hapo eeee???
 
Back
Top Bottom