Hawa wenye kisu inabidi uwe mjanja jinsi ya kudili nao....unamtumia kwa muda tu halafu unasepa. Ukiweka maskani kwa muda mrefu watakufanya mtumwa....ogopa sana hawa kina JS...
Sina hela ila naweza kushare na wewe chochote nilichonacho
Hapo komredi inatakiwa kumega na kulala mbele, alafu unamchuna kweli kweli huku ukiwekeza kwenu.
Wadada wenye pesa na hali nzuri mm nawaogopa sana.
Kuna ndugu na rafiki zangu kadhaa walibahatika kuoa wadada wa design hii leo wanalia na kusaga meno, wadada tuongee ukweli wakiwa na pesa na wakiolewa jamaa kaja kaona mafanikio kama hayo jiulize nn kitatokea kwa mdau??? Muulize Teamo na Asprin
Hapo komredi inatakiwa kumega na kulala mbele, alafu unamchuna kweli kweli huku ukiwekeza kwenu.
Waswahili wanasema kwenye wabaya wako na mwema hakosi!
Inaweza ikakuchukua muda mrefu zaidi ya wengine kupata mwenza but no doubt utapata tu
Sasa chukulia mfano mtu tayari Ana pesa yake, akazi flush ****** ili apate mume au?!
Komaa nao dada, unaweza usiitafute pesa na ukakosa mume vile vile!
Ya...very scared....Are you scared to bet on your balls RR?
atleast ukiwa nazo utatumia mbinu za kuwapata hao wanaume kwa namna moja au nyingine kuliko kuzikosa kabisa na huwapati na ukiwapata wanakukimbia coz unawahorodheshea matatizo....JS ackuambie mtu saka faranga mpaka ukamilifu wa dahari.
Ya...very scared....
but hold on....umesema hii case yako?
Hapana sijasema ni case yangu yalikuwa mazungumzo tu ya kawaida. Case ni ile nyingine kule pembezoni kafanye rejea
:focus:: RR dont be scared why should you? just bet on them balls and everything itakuwa super poa
Fidel mwaya usimsikilize NN wewe kama kuna demu umempenda mtokee tu na umuoe kama una nia hiyo