Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
JS:

Of all the ppl, I never imagined that you are still "single"!

Anyways endelea kupambana tu kwani hata Oprah alishawahi kuolewa!

Mtoto yupo single huyu Baba Enock ni wewe tu na sera zako.
Kikubwa zaidi hajawa used kiviiiiiiile mtoto safi ila mm naogopa kutangaza nia.
 
Hapo komredi inatakiwa kumega na kulala mbele, alafu unamchuna kweli kweli huku ukiwekeza kwenu.
umeongea mkuu.........Hivi mwanamke anaekulea hata akichelewa kurudi home utasubutu hata kumkolomea..
 
hommie.....now this is disgusting isnt it? nadhanai hizi nyodo ndo watu wakiziopgopa!

La msingi nadhani ni wote kuanzia from scratch hapo hata zikipatikana baadaye mnajua zinapatikana ndani ya ndoa hapo mpo wawili so hakuna shida saaana

Tatizo kwa sasa ni kwamba baadhi ya kina dada wakiwa nazo kidogo (wengine kwa kuhongwa na siye) basi full manyodo mtaani, sasa vijana lazima waogope...HAKUNA MWANAUME ANAYEPENDA KUJISIKIA INSECURE KWENYE RELATIONSHIP....

Hapo kwenye gari, jamani naomba kuuliza kwa nini kina dada/mama wengi wanaondesha magari wanavaaa miwani kubwa ya jua (tinted) hata kama alikuwa havai zamani? kuna siri gani hapo?
 
Hapo kwenye gari, jamani naomba kuuliza kwa nini kina dada/mama wengi wanaondesha magari wanavaaa miwani kubwa ya jua (tinted) hata kama alikuwa havai zamani? kuna siri gani hapo?
Leo nimeuliza nikajibiwa eti ni fashen....😎
 
hahaha hommie naona unatafuta ugomvi hapa!! Ishakua fasheni hii mwanawane dah sasa kuna miwani mingine bana yani unabaki kucheka tu!!
 
I beg to contradict with your view. Sio wote wenye nazo wana matatizo. unajua pia inategemea na mtu.
Wengi tunaowaona mtaani wana matatizo JS,sijawahi ona wa afadgali kati ya zaidi ya kumi ninaowafahamu,na ukiona wanadumu na wapenzi wao ujue kuwa wapenzi wao hukubaliana na kila watakalo,kuna siku nilikuwa muziki na mmoja wao akiwa na husband wake ile hus kwenda ****** na kukutana na dada wanayefahamiana na kuanza salimiana ilikuwa kosa kubwa,jamaa kufika tu akaambiwa twende nyumbani,ile jamaa kugoma tu akarushiwa msimbazi wawili na kuambiwa achukue taxi wakati anarudi,bibie akaondoka na mkoko wake taratibu!!!!!!!!!!!!Iliniuma sana
Na huo ni mfano mmoja tu kati ya mingi ya wadada wenye nazo.
 
ukimpata mwenye pesa kisha ana maadili ......................usiombee, raha juu ya raha

hebu waambie Gaijin naona hawaelewi hawa kina Fidel
 
...aaah binamu kwani vibaya? nilikuwa nataka kuonyesha msisitizo zati mekumiss thana....hezi bini longi....n nimefulia mbaya....so?

Njoo nikupoze moyo binamu yangu
 
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
Hapo kwenye gari, jamani naomba kuuliza kwa nini kina dada/mama wengi wanaondesha magari wanavaaa miwani kubwa ya jua (tinted) hata kama alikuwa havai zamani? kuna siri gani hapo?

Wanazuia jua jamani na siri ni urembo....................:tongue:
 
Leo nimeuliza nikajibiwa eti ni fashen....😎

hahaha hommie naona unatafuta ugomvi hapa!! Ishakua fasheni hii mwanawane dah sasa kuna miwani mingine bana yani unabaki kucheka tu!!

dah..whataver happened to 'women emancipation'....hivi ndo mojawapo ya translation zake eeh?

dah....
 
Binadamu ni kinyonga. Hata wanaume wengine wanakuwa wapole wakati hawana kitu. Siku mambo yakiwa mazuri anaanza kupandisha mabega. Ingekuwa safi sana kama mnaanza pamoja na kuyashuhudia mafanikio yenu. Namna hiyo mtayafurahia. Sipendi mahusiano yenye elements kutumiana kimapato ingawa haipekuki. Binafsi sikuwahi hata siku moja kumhonga GF wangu yeyote kwani sikuwa na interest na mwanamke mwenye kulia lia njaa. Na pia wale wenye nazo hata angenambia ananipenda vipi bado kwanga haingewezekana. Ku-cross class naona ni hatari sana. Kama JS unazo basi angaza angaza macho kwa wale wa dizaini zako. Ukitafuta kijana wa Tandika anaweza kukuchefua kwa mambo mengi hata kuacha toilet yako unayoipenda sana bila ku-flush! Mimi ningeshauri nyani waishi na nyani wenzao na tumbili vile vile
 
Wanazuia jua jamani na siri ni urembo....................:tongue:
JS jua linakuwa kali wakiwa kwenye gari au hata wakati wanasaga lami kabla ya kupata hayo magari kutoka Autorec au Japanesvehicle.com?
 
Hmmmm wewe na Fidel...mbona uko naye sana leo?

Ushaanza mambo yako...........kwa sababu Fidel anakataa kwamba anaweza kukutana na mdada ambaye mambo safi na wala asimnyanyase instead akampa raha zaidi
 
Ushaanza mambo yako...........kwa sababu Fidel anakataa kwamba anaweza kukutana na mdada ambaye mambo safi na wala asimnyanyase instead akampa raha zaidi

Things that make you go hhmmmmmm.........haya bana.
 
JS jua linakuwa kali wakiwa kwenye gari au hata wakati wanasaga lami kabla ya kupata hayo magari kutoka Autorec au Japanesvehicle.com?

Linakuwa kali kotekote kwenye gari binafsi kwenye lami kwenye daladala
 
JS jua linakuwa kali wakiwa kwenye gari au hata wakati wanasaga lami kabla ya kupata hayo magari kutoka Autorec au Japanesvehicle.com?
hahahaha kiongozi naona umegonga ikulu!!:nod:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…