Nadhani wametuelewa hawa vizazi vya CUF.Thanks Kamanda; hsa kwa kutupa uzoefu wako!!!
Ukitaka kupata kichaa au kuharibikiwa kazini basi jaribu hao watatu uone... I COULDNT AGREE WITH YOU MORE
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!
Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?
Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!
Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?
Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?
Nimekuelewa mkuu lkn wanaume wenye hizo phd2 wengi huoa asiye na hata kidigrii kimoja......
Ati anahitaji mtu wa kuwa available at home all the time kwa sababu yeye muhimu yuko busy Hana nafasi ya ku raise familia
l
:ranger::ranger::ranger:Ukifuatilia vema nilichoandika utakuta hakuna sehemu niliyomnyanyapaa mwanamke. Mi nimewashauri tu vijana wangu.
Kama ana kadigrii kake kamoja basi aoe kabinti kenye kadiploma yake siyo kenye PhD. Atajuta
Kama ana kamshahara kake ka 500k basi atafute kabinti kenye mshahara wa 400k, siyo kanakolipwa 2000k. Atakoma
Kama ana miaka 25 basi atafute kabinti kenye angalau 24, siyo wa miaka 30. Atalia.
Sasa hao wenye PhD, wenye 2000k, wenye 30yrs, siyo kwamba hawastahili kuolewa.... Kuna vidume vyenye PhD 2, Vinavyolipwa 3000k, vyenye 35 yrs vitawaoa. Hao ndiyo saizi yao
Gaijin mwalimu wangu, kama umenielewa naomba unigonhee senksi kwa ajili ya afya yangu.
NAUNGA MKUNO HOJA!lakini wadau pesa na mali ni material things tu kinachomatter ni mapenzi ya kweli kati ya hao watu wawili na ofcourse tabia nzuri isiyo na manyanyaso na maringo.
Hiyo ya Asprin kwamba mtu mwenye phd aolewe na mwenye phd bado sijaikubali
lakini wadau pesa na mali ni material things tu kinachomatter ni mapenzi ya kweli kati ya hao watu wawili na ofcourse tabia nzuri isiyo na manyanyaso na maringo.
Hiyo ya Asprin kwamba mtu mwenye phd aolewe na mwenye phd bado sijaikubali
Nadhani wametuelewa hawa vizazi vya CUF.
Leo watoto wa TANU tukutane wapi? Grants zinaexpire kwenye makaunta huko!
Tushtuane tafadhali sana
nyie wanaume mkiwa nazo mkawanyanyasa wanawake mbona hawalalamiki? Tatizo mkishalishwa mnaanza kutembea nje ya ndoa na je huyu aliyekutoa mbali huko kwenye umaskini unategemea atafanyaje? Tatizo ni ninyi,ila mimi c amini kama kuna mwanamke mwenye tabia ya kumtesa mwanaume.Chanzo ni ninyi. Mpaka sasa nimeshuhudia familia kama tao na wanawake wana kipato zaidi.Vyeo na hela ni mlangoni.Naomba mjifunze kwa successifu couples na c amabazo zina mgogoro.
don tell me umetishika na maneno ya hawa wanaume humu ndani...JS saka faranga, saka faranga wachana na hulka cjui za kuolewa cjui utakosa mume, wako yupo nae anaejua kusaka kama wewe, naapia yupo wako watu wackutishe, ucwe desperate tu mana utawapata kama hao kina Fidel utaishia kukwazika, mbona unatakiwa ule bata kwa sana tu, unajichanganya kwa sana...yaani ajamni furahieni u cngle mkiingia humu jamani jamani cjui niwaelezeje, kula kuku huku kule mume yupo mahali anakusubiria, tena wa type yako kabisa kabisa, muombe mungu wako akpe wako wa ubavu.....wadada humu ndani ambao bado hamjaingia kwenye game, mctishike, mcpate wacwac wa kukosa cjui mume coz ya hiki na kile, mcjali cjui umri kusonga wala jamii kuwanyooshea vidole, ngoma ndani unaicheza mwenyewe huchezi na jamii...JS, CHARITY,BHT na wengineo.
Halafu wewe? Usisahau sisi ni waume za watu, chondechonde usitupe namba zako za simu lol:nono:
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!kwanini mnamtisha JS?