Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!

Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?

Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?
 
Thanks Kamanda; hsa kwa kutupa uzoefu wako!!!

Ukitaka kupata kichaa au kuharibikiwa kazini basi jaribu hao watatu uone... I COULDNT AGREE WITH YOU MORE
Nadhani wametuelewa hawa vizazi vya CUF.

Leo watoto wa TANU tukutane wapi? Grants zinaexpire kwenye makaunta huko!
 
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!

Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?

Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?

Gaijin...kama ni suala la kusoma na kutafuta mkwanja basi 'the sky is your limit'...ila ujue hiyo tayari inakua ni filter ya uchaguzi wa wanaume...tafuta ambao ni wa level yako.
 
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!

Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?

Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?

Ukifuatilia vema nilichoandika utakuta hakuna sehemu niliyomnyanyapaa mwanamke. Mi nimewashauri tu vijana wangu.

Kama ana kadigrii kake kamoja basi aoe kabinti kenye kadiploma yake siyo kenye PhD. Atajuta

Kama ana kamshahara kake ka 500k basi atafute kabinti kenye mshahara wa 400k, siyo kanakolipwa 2000k. Atakoma

Kama ana miaka 25 basi atafute kabinti kenye angalau 24, siyo wa miaka 30. Atalia.

Sasa hao wenye PhD, wenye 2000k, wenye 30yrs, siyo kwamba hawastahili kuolewa.... Kuna vidume vyenye PhD 2, Vinavyolipwa 3000k, vyenye 35 yrs vitawaoa. Hao ndiyo saizi yao

Gaijin mwalimu wangu, kama umenielewa naomba unigonhee senksi kwa ajili ya afya yangu.
 
Nimekuelewa mkuu lkn wanaume wenye hizo phd2 wengi huoa asiye na hata kidigrii kimoja......
Ati anahitaji mtu wa kuwa available at home all the time kwa sababu yeye muhimu yuko busy Hana nafasi ya ku raise familia

note aspirin
nimejaribu kutumia lugha Kama inayotumiwa na hao wenye double phds.....lol
 
Nimekuelewa mkuu lkn wanaume wenye hizo phd2 wengi huoa asiye na hata kidigrii kimoja......
Ati anahitaji mtu wa kuwa available at home all the time kwa sababu yeye muhimu yuko busy Hana nafasi ya ku raise familia
l

Marhabaaaaaaaaaaaaa.... sasa umeanza kuelewa somo
 
Ukifuatilia vema nilichoandika utakuta hakuna sehemu niliyomnyanyapaa mwanamke. Mi nimewashauri tu vijana wangu.

Kama ana kadigrii kake kamoja basi aoe kabinti kenye kadiploma yake siyo kenye PhD. Atajuta

Kama ana kamshahara kake ka 500k basi atafute kabinti kenye mshahara wa 400k, siyo kanakolipwa 2000k. Atakoma

Kama ana miaka 25 basi atafute kabinti kenye angalau 24, siyo wa miaka 30. Atalia.

Sasa hao wenye PhD, wenye 2000k, wenye 30yrs, siyo kwamba hawastahili kuolewa.... Kuna vidume vyenye PhD 2, Vinavyolipwa 3000k, vyenye 35 yrs vitawaoa. Hao ndiyo saizi yao

Gaijin mwalimu wangu, kama umenielewa naomba unigonhee senksi kwa ajili ya afya yangu.
:ranger::ranger::ranger:
 
lakini wadau pesa na mali ni material things tu kinachomatter ni mapenzi ya kweli kati ya hao watu wawili na ofcourse tabia nzuri isiyo na manyanyaso na maringo.

Hiyo ya Asprin kwamba mtu mwenye phd aolewe na mwenye phd bado sijaikubali
 
NAUNGA MKUNO HOJA!
:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Nadhani wametuelewa hawa vizazi vya CUF.

Leo watoto wa TANU tukutane wapi? Grants zinaexpire kwenye makaunta huko!

Tushtuane tafadhali sana
 
lakini wadau pesa na mali ni material things tu kinachomatter ni mapenzi ya kweli kati ya hao watu wawili na ofcourse tabia nzuri isiyo na manyanyaso na maringo.

Hiyo ya Asprin kwamba mtu mwenye phd aolewe na mwenye phd bado sijaikubali

don tell me umetishika na maneno ya hawa wanaume humu ndani...JS saka faranga, saka faranga wachana na hulka cjui za kuolewa cjui utakosa mume, wako yupo nae anaejua kusaka kama wewe, naapia yupo wako watu wackutishe, ucwe desperate tu mana utawapata kama hao kina Fidel utaishia kukwazika, mbona unatakiwa ule bata kwa sana tu, unajichanganya kwa sana...yaani ajamni furahieni u cngle mkiingia humu jamani jamani cjui niwaelezeje, kula kuku huku kule mume yupo mahali anakusubiria, tena wa type yako kabisa kabisa, muombe mungu wako akpe wako wa ubavu.....wadada humu ndani ambao bado hamjaingia kwenye game, mctishike, mcpate wacwac wa kukosa cjui mume coz ya hiki na kile, mcjali cjui umri kusonga wala jamii kuwanyooshea vidole, ngoma ndani unaicheza mwenyewe huchezi na jamii...JS, CHARITY,BHT na wengineo.
 
nyie wanaume mkiwa nazo mkawanyanyasa wanawake mbona hawalalamiki? Tatizo mkishalishwa mnaanza kutembea nje ya ndoa na je huyu aliyekutoa mbali huko kwenye umaskini unategemea atafanyaje? Tatizo ni ninyi,ila mimi c amini kama kuna mwanamke mwenye tabia ya kumtesa mwanaume.Chanzo ni ninyi. Mpaka sasa nimeshuhudia familia kama tao na wanawake wana kipato zaidi.Vyeo na hela ni mlangoni.Naomba mjifunze kwa successifu couples na c amabazo zina mgogoro.
 
Hii JF bana. Iacheni iitwe JF. Mi siku zote nilijua Audax ni He! Kumbe.............. ngoja niende PM.:love:
 
don tell me umetishika na maneno ya hawa wanaume humu ndani...JS saka faranga, saka faranga wachana na hulka cjui za kuolewa cjui utakosa mume, wako yupo nae anaejua kusaka kama wewe, naapia yupo wako watu wackutishe, ucwe desperate tu mana utawapata kama hao kina Fidel utaishia kukwazika, mbona unatakiwa ule bata kwa sana tu, unajichanganya kwa sana...yaani ajamni furahieni u cngle mkiingia humu jamani jamani cjui niwaelezeje, kula kuku huku kule mume yupo mahali anakusubiria, tena wa type yako kabisa kabisa, muombe mungu wako akpe wako wa ubavu.....wadada humu ndani ambao bado hamjaingia kwenye game, mctishike, mcpate wacwac wa kukosa cjui mume coz ya hiki na kile, mcjali cjui umri kusonga wala jamii kuwanyooshea vidole, ngoma ndani unaicheza mwenyewe huchezi na jamii...JS, CHARITY,BHT na wengineo.

Kumbe hao wote hapo mbado? ahsante kwa taarifa...............
 
kwanini mnamtisha JS?
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!

Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.
 
:love:Kijana binti kujijenga si kigezo cha yeye asiolewe! kama vijana wote wangalipata wazo kama hili basi mabinti wasingalifanya kazi kabisa na wakae tu kusubiri kuolewa la wapate mali na wasiolewe! kwa maoni yangu binti anapaswa ajijenge na kijana naye ajijenge pia! mali pesa majumba nk. ni vitu vya kupita na vinatafutika! lakini moyo wa upendo wa kweli kama haupo haijalishi hata kama binti ni millionea au ni masikini kupita, ndoa itakuwa NI mateso!
kitu muhimu ni upendo wa kweli na sio uzuri wala mali, japo na hivi pia vina mchango wake kwa sehemu!
:nod:upendo huvumilia,hufariji,hupongeza,hauhesabu mabaya, haubagui, nk! HAKUNA KITU MUHIMU KATIKA NDOA KAMA UPENDO WA KWELI! :help:na hakuna mwenye kipimo cha upendo wa kweli isipokuwa YEYE aliye na upendo wa kweli! NAYE NI MUNGU WETU WA MBINGUNI!:help:
 
Tukubali ukweli kwamba wanaume wengi wana mtazamo kama alioutoa asprin lkn haimaanishi kuwa hawapo kabisa wanaopinga mtazamo huo.

Mke akiwa na pesa raha...... Hakusumbui sumbui kwa pesa za saloon au za kuwapa jamaa zake.....hamuoni hapo kuwa mshapunhuziwa mzigo?
 
don tell me umetishika na maneno ya hawa wanaume humu ndani...JS saka faranga, saka faranga wachana na hulka cjui za kuolewa cjui utakosa mume, wako yupo nae anaejua kusaka kama wewe, naapia yupo wako watu wackutishe, ucwe desperate tu mana utawapata kama hao kina Fidel utaishia kukwazika, mbona unatakiwa ule bata kwa sana tu, unajichanganya kwa sana...yaani ajamni furahieni u cngle mkiingia humu jamani jamani cjui niwaelezeje, kula kuku huku kule mume yupo mahali anakusubiria, tena wa type yako kabisa kabisa, muombe mungu wako akpe wako wa ubavu.....wadada humu ndani ambao bado hamjaingia kwenye game, mctishike, mcpate wacwac wa kukosa cjui mume coz ya hiki na kile, mcjali cjui umri kusonga wala jamii kuwanyooshea vidole, ngoma ndani unaicheza mwenyewe huchezi na jamii...JS, CHARITY,BHT na wengineo.

Wala sijatishika Nyamayao hakuna kitu kama hicho mie naendelea kujiendeleza kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom