Mwanamke aolewa na wanaume wawili

Mwanamke aolewa na wanaume wawili

It is about time!

Inafurahisha kusoma kuwa mwanamama huyu ndiye mwenye kauli ya mwisho. Haya kwa wakina Sophia Simba ambao wamekuwa wanaimba mwanamke 'akiwezeshwa- anaweza' wakapate tuition kwa huyu mama kuwa huitaji nyenzo toka kwa mtu mwingine kufanya kile unachotak.

Hongera mama kwa 'kuoa'waume wawili!

FJM
Wewe ni kiboko! Nimecheka mpaka basi!..Hiyo tuition mbona itakuwa ya mwaka!
 
Kwani wanaume kua na wanawake wengi kumewafikisha wapi Watanzania?!
 
hata india haya mambo yapo....
sio ajabu saana

kuna secrets polygamy za aina hiyo nyingi tu
 
wanawake wa kitanzania wana wanaume wengi sema inakuwa sio officially tu ....tunajifanya hatujui.. mtu anatembea na mashoga au anakula tigo kila siku ila akioona shoga kwenye tv au mtaani aanajifanya astaghafulilah.. wtf
 
That is the power of a woman. Hamna cha pesa wala njaa; wote wamepagawa na penzi. Na navyowajua wanaume wa kifipa walivyo wapole.
Kuna incidence nyingi tu kama hizo ila hiyo iko wazi kwa kuwa wameolewa mitala. Kuna wanaume wanakuwa na wanawake wenye affairs nje na wao wanajua na hawawapi talaka wake zao kwa maana kuwa wamekubali na wamehalalisha sharing.
 
kweli duniani kuna mambo, ukisikia wakati umefika wa miti kusema, mawe kujibu na wanyama kuwa watu usihangae. kwa jinsi huyo mama anavyo wamiliki hao wanaume wawili, na wote wamelaza masikio hakika huyo mama yuko njema kwenye ndumba nangae.
 
afadhali amefungua njia. mtendwa akitendwa huona kaonewa eh? tungejee network ambayo itakuwa wazi. yaani mke ana waume 2, na hao waume nao kila mmoja ana mwanamke wa nje. na hao wanawake wawili kila mmoja wao ana mwanaume wake. ngoja nitengenezee network model!


mawazo yako tu hayo ila wale jamaa kule hawana wake wa nje kwa mujibu wa habari hii......wametulia tuli mama ameshika usukani na wanamuheshimu huyo mama......hahahaha......
 
Huyo mke atakuwa mchawi balaa ndo mana kaweza kuweka watu wawili chungu kimoja.
 
Awali niliwah kuambiwa kuwa wanawake wa mikoa ya kusini kama vile mtwara na lindi hususan wamakonde ndio wanatabia ya kuolewa na wanaume wawil lakin hufanya siri sana,hakuna mume anaejua kati yao......ila hii kali
 
kama alivyosema mwenyekiti wa kijiji wanachoishi naomba nimnukuu

''mimi kama kiongozi hapa sina la kufanya na siwezi kuwafukuza, kwa kweli wanaishi kwa amani, mengine ni yao''


hii kauli ya mwenyekit nimeipenda...
 
.........ndio mambo ya usawa hayo, women run the world.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ndo mambo ya usawa hayo....mmhh!

Mhhhhhh! Madame KH!? usawa eeh!? 🙂 🙂 🙂 hahahahahah lol! Haya bhanaaa! Na siku hizi kuna DNA akipatikana kiumbe kama hafanani na mababa hao wawili basi DNA inaweza kutumika, labda nayo isione kitu 🙂 kumbe mama kajirusha viwanja vya ugenini kwa raha zake 🙂
 
Back
Top Bottom