MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, Veronica Saleh Mama Kaela (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo. KWELI TUTAFIKA KWELI JITUPIE HAPA KUMUONA PIA KUSOMA SAKATA LAKE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peace & co-habitation...!safi sani kumbe inawezekana
It is about time!
Inafurahisha kusoma kuwa mwanamama huyu ndiye mwenye kauli ya mwisho. Haya kwa wakina Sophia Simba ambao wamekuwa wanaimba mwanamke 'akiwezeshwa- anaweza' wakapate tuition kwa huyu mama kuwa huitaji nyenzo toka kwa mtu mwingine kufanya kile unachotak.
Hongera mama kwa 'kuoa'waume wawili!
afadhali amefungua njia. mtendwa akitendwa huona kaonewa eh? tungejee network ambayo itakuwa wazi. yaani mke ana waume 2, na hao waume nao kila mmoja ana mwanamke wa nje. na hao wanawake wawili kila mmoja wao ana mwanaume wake. ngoja nitengenezee network model!
industrial revolution
ndo mambo ya usawa hayo....mmhh!
.........ndio mambo ya usawa hayo, women run the world.