Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Kuna walioumbwa kutotawalika, kutopendeka na kutojaliwa
Hata ufanye nini viburi vyao huwapeleka next level
Bahati mbaya wakishavuka 40 wanakimbilia nyumba za ibada, wanakua mabalozi wa kupandikiza chuki against men Kwa wasichana
With the digital revolution- don’t bet anything for or against women
Aisee we jamaa unajua Sana
Ila hujasema tuzingatie lipi Sana Kati ya kutomuonea huruma au kumtunza....nadhani unamaana kwa mke wa ndoa ni lazima kumtunza ila mademu TU tuendelee kuwakanyagia tusiwaonee huruma
Ila hapo kwenye mitumba rekebisha mkuu me Nina pc yangu Kali nimeipata NImeipa hela ya rasta na leo nitainunulia lotion na body spray ila pia Kuna nguo za kike huwa nauza nachukua ilala majeje na vitop mixer vigauni vile vya ukweli nitampa.PAMOJA SANA mkuu
Jibu zuri, hakika ni mwing wa busara.Huwaga sibishani na maoni ya mtu.
Upo sahihi Kwa Uelewa na akili yako.