Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu.
Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding.
Basi watu wakakasirika sana pale wakaweka mawe barabarani kuzuia gari zisipite,ili polisi wasimame ule mwili uondolewe pale.
Mimi nilikuwa naelekea Buguruni,nilipofika kule,nikawaeleza Polisi Buguruni,wakasema hiyo ni jurisdiction ya Msimbazi Polisi, lakini,habari zimefika tutawaeleza.
Hapa nadhani watu watajaribu kuwa very mysterious kuelezea chanzo cha kifo,lakini nadhani tatizo lilikuwa jua kali. Yule amepata sun stroke.