Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kuna mmoja huyo nilimpata huko, tukachat tukahamia whatsap mara game ikapangwa, mwaka jana hiyo mwezi wa 5 au 6 hivi. Kaniibukia hom, nilikula mzigo asipagawe aanze kunitangazia habari za kumuoa! Sasa hiv nampangia siku mmoja hivi tena keshajaa
 
Hongera sana... Kadata na mechi kaka bora Joe kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom