Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kuna comment niliona humu kuhusu mtandao wa Tantan kwa mdau mmoja!!! Madada wana full stress za kuumizwa mule na wenza wao wa zamani wanaitaji farijiwa ukigusa tu imo!!!! Mi sasa ivi najililia Toto shombe shombe full mswambwanda toka zanzbar uko.
 
Baba hebu picha kwanzA
 
Baba hebu picha kwanzA
Kichwa nimekikata lakini mkuu sababu za kimaadili!!!mmoja ya criteria yangu kubwa mwanamke awe na tako tu mengine ntavumilia.sio kimtu kimbau mbau unashika shika viu ugoko vyake tu.
 
Attachments

  • IMG_20190208_094621_239.JPG
    IMG_20190208_094621_239.JPG
    34.9 KB · Views: 117
Hamna longo longo za kupiga selfie au kuverify akaunti huko?
Hakuna izo mambo!!! Ukishafanya registration kazi yako kubwa ni kuanzia Ku like picha za wadada utakaowaelewa ikitokea picha za unazo like na wao wa ka Ku like pia ndo hapo mnaweza chat free pasipo payment kwaiyo kikubwa we ni Ku jilikia picha za watoto wazuri. Hapa penyewe nipo mawindoni mkuu
 
Attachments

  • IMG_20190208_100755_271.JPG
    IMG_20190208_100755_271.JPG
    22.4 KB · Views: 118
Hakuna izo mambo!!! Ukishafanya registration kazi yako kubwa ni kuanzia Ku like picha za wadada utakaowaelewa ikitokea picha za unazo like na wao wa ka Ku like pia ndo hapo mnaweza chat free pasipo payment kwaiyo kikubwa we ni Ku jilikia picha za watoto wazuri. Hapa penyewe nipo mawindoni mkuu
My nigga you are a beast.

Na hii ndiyo itakua favorite app yangu kuanzia muda huu
 
Hakuna izo mambo!!! Ukishafanya registration kazi yako kubwa ni kuanzia Ku like picha za wadada utakaowaelewa ikitokea picha za unazo like na wao wa ka Ku like pia ndo hapo mnaweza chat free pasipo payment kwaiyo kikubwa we ni Ku jilikia picha za watoto wazuri. Hapa penyewe nipo mawindoni mkuu

Asili ya huu uzi ni screenshots kama hizi.
 
Back
Top Bottom