Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Attachments

  • IMG_20190209_083540_850.JPG
    IMG_20190209_083540_850.JPG
    45 KB · Views: 116
Haahhaha
Hakuna izo mambo!!! Ukishafanya registration kazi yako kubwa ni kuanzia Ku like picha za wadada utakaowaelewa ikitokea picha za unazo like na wao wa ka Ku like pia ndo hapo mnaweza chat free pasipo payment kwaiyo kikubwa we ni Ku jilikia picha za watoto wazuri. Hapa penyewe nipo mawindoni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom