Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kilipita kamgao siku hii bomba la gesi nakumbuka ndio lili pasuka
Mkuu nakushauri ungechaji hiyo simu yako kwanza! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kwa sababu wanataka wakupe ngoma kirahisi
 
Hahahahaha kaka Mlevi mmoja. Huyu demu kwanza sio demu huyu ni tapeli. Namba yake niliipata humu jf kuna jamaa aliipost akisema anaitwa Cindy. Nikatirieika nae. Picha linaanza jamaa alisema yupo dar ila huduma analeta hadi mikoani ila siku namtext ananae yupo mkoa niliopo kaja kufanya interviewe.
Baada ya dakika kama kumi anaomba hela kula na vocha. Nikamwambia njoo nipo sehem flani ambayo nijirani sana na yeye aliposema kafikia akazma simu. Smu hapokei anataka text tu
 
[emoji16][emoji16]daah sio poa wengi matapeli ila njaa zikiwazidia wanaingia line wenyewe
 
Asilimia 96 ya hao member wa badoo wana ID JF ndo mana nyuzi nyingi ni za malalamiko, ya siku ya pili tu hana hela ya kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…