Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kama upo dsm madem wa badoo wapo kimboka usipate tabu ya kumaliza MB za cm chukua daladala ukanyambue manyoya kimboka
 
Asante sana mkuu
Ningekuwa na hela ningekurushia ya supu
Hivi huko tinder na meetme kuna madem wa kibongo kwel???naonaga wengi Wazungu
Naomba unishauri which is the best dating site in Tanzania mimi nimejaribu Badoo tu
 
Asante sana mkuu
Ningekuwa na hela ningekurushia ya supu
Hivi huko tinder na meetme kuna madem wa kibongo kwel???naonaga wengi Wazungu
Naomba unishauri which is the best dating site in Tanzania mimi nimejaribu Badoo tu
Noo, the best kwangu ni tinder, you meet with real people.

Nenda kweye settings uweke distance filter na ikuletee mademu wa karibu na wewe. Ni wabongo watupu.
 
Hao wa badoo ndo hawa hawa wa mtaani, mi kuna mmoja nilimuona badoo nikamjua mana alikuwepo kwenye saluni ya kiume jirani na nilipopanga ila hakuwa akinifahamu, nikamzingua nikala kama mara 2 kisha nikakimbia
Hata mtaani na makanisani wengi tu wameathirika
 
Na pia ukiona mwanamke ameweka namba ya simu huyo ni mwizi we achana nae, mana ataishia kukutapeli tu
 
Asante
Em nishushie hata top 3 bas hapa
Nyingine ni za kulipia na nyingine ni for serious relationship kama eharmony, happn na nyingine.

Ila kama unataka watoto wazuri wa kula nao good time na hata ndoa baadae anza na tinder, meet me, zoosk, tantan, match.com na nyingine. Unataka malaya waliokubuhu, mashoga nenda badoo, hitwe na eskimi, adam4adam, grindr na nyinginezo. Chagua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…