Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Noo, the best kwangu ni tinder, you meet with real people.

Nenda kweye settings uweke distance filter na ikuletee mademu wa karibu na wewe. Ni wabongo watupu.
Mkuu nimejaribu kuchoma ndani ya hii tinder naona kama wanataka nilipe 34,000/= per month, ndo iko hivo au nimeenda nyingine.Nakama ndio nalipajelipaje mkuu.Nimedhamiria
 
Noo, the best kwangu ni tinder, you meet with real people.

Nenda kweye settings uweke distance filter na ikuletee mademu wa karibu na wewe. Ni wabongo watupu.
Mkuu nilipita nikaona Luna agizo kuwa niupfrade to gold ili nione Walio like, ndo wanamaanisha nilipie au?
 
Jephta2003, Nikichat nao napata ile personal touch hata siku nkikutana nae nakuwa na hisia nmekutana na mtu kwel
Ila wale wa Africa sana unafika hata jina humjui inakuwa kama upo na limdoli yani bora hata puli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wengine hawajiuzi ila wapo desperate kuwa kwenye mahusiano

Sometimes unaweza sema wanataka wakufanye danga cha ajabu hata hawapigi vizinga
Hivi hii ni kweli eh?
Kwahiyo ukiomba gemu anachomoa? Au ndio anaanza kuhubiri ndoa?
 
Hivi hii ni kweli eh?
Kwahiyo ukiomba gemu anachomoa? Au ndio anaanza kuhubiri ndoa?
Hiyo ni kweli kabisa

Kuhusu kuomba gemu ni gia yako na akili yako cha kufanya asikuone muhuni tu unataka umtafune

Wengine wanakubali kabisa kutoa gemu

Wengine wanakuwa wazito ila ukitafuna inakuwa non stop mpaka unamchoka

Wengi wanakuwa serious wanakwambia mkapime kabisa hapo ndo ninapowakubali

Kuna mademu kule hawajiuzi wana kazi nzuri ila wapo sana desperate na mahusiano wanasema siku hizi waoaji hamna [emoji3]wengine wanasema hawatongozwi au wanatongozwa na watu wasioeleweka wanishindwa kukubali kwa hyo hapo ni mbinu zako kumshawishi
 
We hi5 inakufaa kule hauweki picha yako unaweka yoyote inatakiwa profile lisiwe tupu liwe angalau na pics yeyote

Na Toto's wapo kama wote
Hapana.
Ila badoo ilinishinda inataka niweke picha yangu halisi nika uninstall.
Wengine sisi ni watu na heshima zetu kwenye jamii na maarufu.
 
Mkuu nilipita nikaona Luna agizo kuwa niupfrade to gold ili nione Walio like, ndo wanamaanisha nilipie au?
Usilipe, hela nyingi kwanza alafu hakuna exception ni mademu hawa hawa wa kawaida. Deal na wanaolike back tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…