Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Chief huyo wa kwanza hiyo namba anatumia dume! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Dume anajifanya jike ?

Daah wana elements za kishoga [emoji16][emoji16]
 
Nshatoa shuhuda huko juu pamoja na screen za chats la nitaongeza nyengine shuhuda na hawa Toto's ngoja niwavute wachache wa live streams
Mkuu badala ya kutuwekea picha za mademu wa huko badoo embu jikite kwa kutupa ushuhuda wa jinsi ulivyomvuta mtu kutoka Badoo Hadi kwenye live streams.
 
Hii kazi kabla ya maelezo inaomba pesa
Screenshot_20191114-115733.jpeg
Screenshot_20191114-115740.jpeg
Screenshot_20191114-115748.jpeg
Screenshot_20191114-115753.jpeg
Screenshot_20191114-120417.jpeg
 
Back
Top Bottom