Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Jamani saa kumi na mbili asubuhi mmeamkia huu uzi.

upweke noma.
 
Huyo wa chini mpigaji huyo...akiketa usanii nawe kuwa msanii tu.
Kuna mmoja anaitwa Aisha anajifanya yuko Masaki kumbe yupo Moshi. Alituma namba anataka hela..sasa mimi nina access ya kujua mtu yuko wapi. Kumcheki kumbe yupo Moshi. Nikamblock.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafanyaje kujua location,? ni pm kama hutajali.
 
Daah kuna I'd toka nijiunge sijawah kuziona zikichangia jf duuh ila zpo nimekutana nazo pm na ni nyingi mnoo daah ila wana wanayumba wapite kuchangia Uzi wetu pendwa sio kusoma tu halafu directly pm


Ila mabaharia saluti kwenu [emoji16][emoji16] kwengine kote tunatengana ila kwenye kuchakata papuchi tunakuwa na umoja
Sasa mbona hujatuma link kwa Baharia mkuu wa Atlantic Ocean huku pm!
 
Naona watu wanaangaika na suala la kuweka link hapa ni hivi telegram sio kama whatsapp unaweza kuweka jina sahihi la hilo group hapa then ukifungua App ya telegram unasearch hilo jina group linakuja huna haja ya kuweka link hapa upigwe ban bure. So dondosha jina la group hapa.
 
af mabaharia sio poa picha za madem wa telegram kuwaleta huku wao wanajiachia kule wanajua wapo safe so tuchakate puchi kimya kimya picha save kwenye simu yako usipost huku
 
Back
Top Bottom