Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Happy Independent wananzengo

Ujue nikiingiana date site ya Badoo nashangaa Sana kumkuta mmama mtu mzima Hadi wa miaka 50 na ushehe yupo kwenye huu mtandao

Huwa najiuliza % kubwa ya members ni vijana ambao wengi wanatafuta wenza na wengine kujiuza iwe wa kiume au wa kike

Sasa unakuta mmama kabisa Tena na mvi nae yupo Badoo je akitongozwa na vijana wadogo sawa na wanae atamlaumu Nani

Eti jamanii Hawa wamama nao wanatafuta nini kule????
 
Unachotafuta huko na wao ndo wanachotafuta..kila mtu na uhuru maisha yake usiwapangie..hauwalishi hau wavishi.
 
ukimuona mwanamke badoo huko anakuwa anatafuta bwana

wewe akikupendeza we piga tu
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Sio wote badoo wanatoza hela wengine unaweza piga free na akawa anakuletea muda wowote ukitaka,we unamuwezesha kidogo kama nauli nk
 
Back
Top Bottom