Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Happy Independent wananzengo

Ujue nikiingiana date site ya Badoo nashangaa Sana kumkuta mmama mtu mzima Hadi wa miaka 50 na ushehe yupo kwenye huu mtandao

Huwa najiuliza % kubwa ya members ni vijana ambao wengi wanatafuta wenza na wengine kujiuza iwe wa kiume au wa kike

Sasa unakuta mmama kabisa Tena na mvi nae yupo Badoo je akitongozwa na vijana wadogo sawa na wanae atamlaumu Nani

Eti jamanii Hawa wamama nao wanatafuta nini kule????
 
Unachotafuta huko na wao ndo wanachotafuta..kila mtu na uhuru maisha yake usiwapangie..hauwalishi hau wavishi.
 
Sigara Kali, Acha ubaguzi kwani wewe ni mdogo? Wewe unalazimisha kila mtu alingane nawewe.......kuna kitu kinaitwa 'tast and preferences' tulia tu
 
ukimuona mwanamke badoo huko anakuwa anatafuta bwana

wewe akikupendeza we piga tu
 
Sio wote badoo wanatoza hela wengine unaweza piga free na akawa anakuletea muda wowote ukitaka,we unamuwezesha kidogo kama nauli nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…