Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Hi5, tinder, telegram badoo inasubiri

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Kaka, upo kwenye lile group ? Kule kuna connections za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha mfungo hiki [emoji38][emoji38][emoji38] nimefuta kila kitu mkuu, ufirauni wote nimeacha kwanza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wakuu connection vipi hapa mbona kimya? Natupia kiporo mkapashe thank me later
688631154
 
Baada ya kujiunga Badoo nimegundua mambo haya

1. Wanawake waliopo kule hawajaweka picha zinazoendana na umri wao.

2. Wanawake wengi wanajiuza, ukianzisha story kidogo unaulizwa una Shililingi ngapi? Au utarushiwa namba, mnaingia whatsup anakurushia picha za aibu. Kupitia picha hizo ndipo nilipougundua hazina uhalisia na za Badoo. Wanawake wengi niliwapanga hadi bei na maeneo ya kukutana lakini baadae nawapotezea. Nilijitahidi kutowarushia picha zangu.

3. Wanawake wa kule waongo Sana.

4. Kuna ving'ang'anizi hasa wakijua kazi yako nzuri.

5. Nawapa Kongole wasichana wa Mwanza wengi walinikataa na kusema wao sio Malaya.

Ni hayo tu kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…