Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hi5, tinder, telegram badoo inasubiriWale wazee wa kusafiri na kubook totozpopote pale nadhani huwa badoo inakidhi haja, kama unaenda R kwa mfano, unaset tu dish kule unaweka oder ukifika oyah oyah.
Unadhani kuna source gani nyingine kiboko ya badoo hapa bongo?
Ambayo pengine ina vitu vikali na vya kueleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]