Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ulikuwa hujui[emoji1787][emoji23],nilikutana nayo hapo banana, longtime
[emoji1787][emoji1787] Kweli tembea uone,,nilikua namwelewa tu kishkaji alivoanza mizinga nikachapa lapa.
 
Kule Kenya nako wana lao moja linaitwa Adhiambo Jecinta huyu ndo kichaa kabisaaa 😆😆
 
Wadada wa Dar si unawajuwa. Hawapendi kazi ila kudanga kwao ndiyo starehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…