Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwani kuna shida gani kuwala hao na pia wanautofauti gani na unaowaona mtaani kwako hawa hawa wa online ndo tunaoishi nao mitaani kwetu hawatoki sayari nyingine, wengine ni dada zetu,wadogozetu, mama zetu, mamdogo, shangazi na bibi zetu na wake zetu pia. hata hela wanazopata ndio wanalisha watoto wao ,wanawasomesha, wanawanunulia na simu au komputa za kuingilia kwenye mitandao hii hii kuwaponda. hata wanunuzi ni sie wenyewe ambao tuko humu na pia tunaishi mitaani na wao au kama wao mitaani. Na kama maambukizi za virusi au hata magonjwa mengine ya zinaa tunayapata kwa wale ambao tunawaamini tukidhani ni wema na salama, maana tumezoea ukienda kwa malaya unatumia kondomu na unakuwa makini lakini ukiwa na kademu kako ulikokafukuzia kamekukazia kweli mwaka mzima siku kakikubali unasahau hata kuvaa kondomu unapiga kavu au hata kwenda kupima matokeo yake ni kupata magonjwa halafu hako hako kademu bila kujua ni kuwa kameshatembea na watu zaidi ya ishirini bila hata kinga.
 
Ubaya wa tinder mpk mtu akulike ndo unaweza kumtumia message au labda ulipie premium

Hata ukilipia,, mm nishalipia sanaa
Premium ya tinder haina uhusiani na matching..
Tinder its all about BIO and PHOTO
Wanawake wa Tinder wanasoma sana Bio,
Na kuangalia Ile picha umeweka paale!!

Project nilizo pita nazo tinder zanafika hata 50 [emoji3][emoji3]
Unajikuta una match hadi una match tena!!

Tinder ina wanawake wa design 4

Moja : Wanaouza biashara (hook up)
Mbili : Wale Ma cooperate
Tatu : Kuna project commitment kweli kweli
Nne : Kuna project feki na waongo ( na hawa ni wengi hawajaweka picha, au hawako verified )

Niendelee nisiendeleee ? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endelea
 
Back
Top Bottom