Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

We nae domo zege? Huu uzi una maajabu leo nimeamua kuchungulia kuna nini
🤣🤣🤣🤣Wee mie domo zege kweli...mbususu zote nilizogegeda najiokotea online tuu, badoo, jf tinder hi5. Ata weye unaweza jipatia kipozeo huko badoo...ebu jaribu kutembelea
 
🤣🤣🤣🤣Wee mie domo zege kweli...mbususu zote nilizogegeda najiokotea online tuu, badoo, jf tinder hi5. Ata weye unaweza jipatia kipozeo huko badoo...ebu jaribu kutembelea
Duh
 

Ile siku nimejichanganya kuingia badoo kwa lengo la kushangaa tu (cos ndo ilkuwa mara ya kwanza kuperuzi humo)nikakutana live na kajamaa kanajitambulisha kanakaa sinza kanataka nikakasuuze 0717[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Loool.....NIKATUMIA BUSARA TU KUKAJIBU ,”KAKA MI NI STRAIGHT I DONT DO GAYS “

Nashangaa jamaa hakuwa muelewa analazimisha hata anitumie nauli ya boda nifike hapo sinza kwa haraka kutimiza haja yake ya “UFIRAUNI”.

So sikuweza kuendelea na kuchat naye nikamjenga ukweli kuwa niko huku kwa minajili ya kushangaa vipusa na sio alele kama yeye.

Hilo tukio lilitukia mnamo mwaka 2019,tangu hapo nikawa nachukia hiyo kitu badoo mpaka leo sijawahi kuzuru programu tumishi hiyo.
 
Hizi story huwa ni za kutunga, hakna gay anayelazimisha mapenzi, hizo chuki zenu dhidi yao, ziwage na kikomo lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…