Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kuna mshikaji aliambiwa kuwa gari haina mafuta nitumie 20 ili tukutane sehemu waliyopanga na akatuma baada ya kutuma mwanamke akajifanya amefika wakati mshikaji bado hajafika akaambiwa nitumie 10 ya kula na 40 nichukue chumba unikute jamaa akashtuka baadae anamwambia na kuja mwanamke akamjibu nimeisha sepa siwezi kukaa kwenye gari na njaa hahahaaa jamaa 20 ikawa imeenda
Halafu ukishatuma mpunga tu wanajifanya wana hasira kumbe ni kutafuta sababu ya kuhalalisha utapeli wao.

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
 
1478682762716.png
 
Back
Top Bottom