ha ha haaaaa, ngoja nikamuonyeshe mwafulani, afu wanapenda kwenda saloon haoooo, utadhani wanalala kwenye karakana. Kuna jamaa yangu alinisumbua nimkope 50 elfu aongezee kumleta mwanadada kutoka Mwanza kuja Dar, zilimtoka 250,000/=
Mwisho wa hadithi simu ikawa haipatikani aliporudi kwenye mtandao picha zimebadilishwa na sura nyingine. Alibaki hoi.
OOOhhhh! nitumie 50 elfu niingie saloon, kesho naanza safari, nitumie 70 elfu za nauli, kuna mafuta yangu huwa natumia sehemu za joto nitumie 25 elfu kudadadeki. kuja kushtuka 250,000/=.