Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kuna mmoja aliniambia nimtumie pesa ya tax na nichukue chumba kabisa nimwambie aje guest gani na chumba namba ngapi, ile kutuma elfu ishirini tu akani sms kuwa hataweza kuja kwani yupo kwenye siku zake siku ya pili leo!
Pole sana
 
Dawa.. Ni kukapture hizo pic zake
#42, 44 na 47 zahusika, alinambia kuwa anakaa kigamboni, na nauli niatuma, nimekaa nasubiria kwa picha za kuonjeshwa utamu, kumbe nieliwa bila kula ha ha haaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli wanawake wanawala wanaume kipumbavu sana
Ni kweli kabisa ila ukishawajulia inakuwa namna hii
38ae8dc9b94bc7a9013c3cad53b3a3f9.jpg
 
677412fe23a9db6305d2c2c993d4d970.jpg
df6000a045641ec7ca5bcee71a3385f1.jpg

Wae mnaotafuta kwenye badoo migoma hiyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teh teh teh uyo noma na simu anazima kabisa
 
Back
Top Bottom