Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kuna mmoja aliniambia nimtumie pesa ya tax na nichukue chumba kabisa nimwambie aje guest gani na chumba namba ngapi, ile kutuma elfu ishirini tu akani sms kuwa hataweza kuja kwani yupo kwenye siku zake siku ya pili leo!
Pole sana
 
Dawa.. Ni kukapture hizo pic zake
#42, 44 na 47 zahusika, alinambia kuwa anakaa kigamboni, na nauli niatuma, nimekaa nasubiria kwa picha za kuonjeshwa utamu, kumbe nieliwa bila kula ha ha haaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Wae mnaotafuta kwenye badoo migoma hiyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teh teh teh uyo noma na simu anazima kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…