Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli mkuuWengi mnaoliwa pesa zenu ni washamba. Hakuna mtu anayetapeli kwa kutumia picha yake mwenyewe, hata kujiuza mtu hajiuzi hovyo hovyo. Matapeli huchukua picha za watu kutoka facebook, instagram na kwingineko halafu wanajifanya ndio wao. Kuna mpaka kina serena williams ana jina la kibongo! Acheni kuzileta hapa hizo picha ikiwa uliishia kutuma pesa tu na hukukutana laivu na mwenye picha. Mnachafua watu bure.
malaya nae alijua kakutana na mtt wa kishua,kisa abroad ukalegeza coUlikubali sababu ya abroad sio?
Kwanini umeamua kuniliza wivu hili lakini aggie??i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.
tulifahamiana ila mi mtt wa kike kwa kudengua na mapozi hadi nakera..nliunstall hiyo app but still mkaka ananitafuta tu plz j tuonane niwe rafiki ako...nkamzungusha wee baada ya miezi akaniambia mi naondoka naenda abroad kusoma.alupofika huko tukaendelea kuwasiliana akafunguka tuanzishe relationship.tukawa in distance relatipnship mwaka mzima..mwenyewe baadae akazingua.
but nlimpenda na alinipenda mno..ni mtu aliekua ananielewa sana.
hakuna namna tena.
Mmmhhhhh...Hapana, nachati nae ata saivi mkuu! Hana account JF
Hahahahaaa....Leo mmenifungua macho,nishaliwa sana za kusukia kwa hawa watu.Pambafffff hawanipati tena labda asuke baada ya kutoa PAPUCHI
Yaa mwanzo alibana. Lkn aliposikia jamaa yupo abroad chupi ikalowa. Jamaa nae akaona demu mtu wa material things akaamua kupiga chini.malaya nae alijua kakutana na mtt wa kishua,kisa abroad ukalegeza co
Kweli mkuu?
jamani hayo ya zamani yashapita...[emoji85] [emoji85]!Kwanini umeamua kuniliza wivu hili lakini aggie??
fanyeni kazi jamani hii nayo ni habari?Samahaneni wakubwa kama tawaudhi, niko busy Badoo kutafuta michepuko kwa wiki sasa. Lengo langu ni kupata mmama mwenye dark skin lakini leo hii nimeamua kujiondoa baada ya kukosa kabisa mwenye rangi hiyo. Je hivi ni kweli huko badoo kuna wadada weupe tu wasio hata na chunusi hata moja usoni au nimimekapu tu ndiyo inanichanganya?
wewe umefanya kazi ya kukomenti, tz buana hahahahafanyeni kazi jamani hii nayo ni habari?
Inamaana hata wewe pia imeshindwa kujitokeza kuwakomboa wanawake wenzako? Au wewe ni white in nature?Hao ni indigenous species na ukiwaona uwapeleke makumbusho ya taifa watakako pata ulinzi na uangalizi.