Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Hii sasa uongo mume edit ,ebu itizame vizuri io picha kaaa,kuna kamkono pemben ya uyo manamke.
Sasa huyo si ndo mwanaume yuko na kisu chake hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Badoo inawaibisha na kuwashushia hadhi zao wanawake.

Just imagine upo ofisi moja kali matata sana hapo dar, mle ndani kuna vibinti unafanya navyo kazi ila vina uso wambuzi yaani fully ubize na usmart. Hamaki unafungua laptop yako unaingia badoo na fake id unavikuta kule na vi picha vya ofisi, kwa vile wameruhusu wawe tracked na hio service unaona location ni mita 1. Una muomba urafiki mna chat baadae anataka kukutapeli unamzukia live... vipi mbona hukuja.. basi inakuwa ni aibuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unakula kisela tu
 
Siri Yangu Mkuu .lkn nimelizwa na haitatolezea Tena.najua kuna watu wameshawagi Kupigwa mzigo Wa Maana m huyu demu
Huyu mtoto anaitwa Zubeda a.k.a Zuu,kwao Temeke Mwembe Yanga,sasa hivi anaishi Ilala kuna jamaa kaelewa show kampangia upande.
 
0005934ec08a2aa82fece4b6cef05574.jpg
Live bila chenga
 
Back
Top Bottom